Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Najua alikuwepo muda mrefu ila hakuweza kupata spotlight hadi alivyokuja kivingine. Kingine mimi sisikiliziki tu nyimbo za mainstream maana kuna wengi tu hupigiwa promo while hawana uwezo..

Pia Burna sikuwahi kumuweka kama msanii the best maana hata yeye anaimba pongolo music na katika category ya Pure African sounds namuweka Simi na Mr flavour (japo huyu nae huwa anaimba pongolo).
Simi mzuri sana kwa sasa karibu atamtupa Tiwa ....ila burna japo wakitambo sana lkn ana uwezo mkubwa wa kunata na beat ingawa beat karibu zote zifanana

Kwangu mimi ngoma kali ya burna kwa sasa ni "another story" baada ya "on the low " kuisha muda wake
 
Back
Top Bottom