Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 280
StarBoyBurna Boy Africa Giant.......Kila mtu ana 'era' yake na miaka ya hivi karibuni ndo anakimbiza yeye....muda wake wake huu...walikuwa kina Patoranking,RunTown,skales,korrede bello,Maleek Berry,Eazy... e.t.c!.
Ila Wiz Kid usimlinganishe na hao!Kila 'era' yupo hajawahi kuyumba...Baba Nla!Star Boy
Yeah star boy ni noma....au unamlinganisha na Burna boy sababu Burna boy kaingia kwenye Grammy awards....ila kumbuka hata wiz kid alishawahi kuingia....(Nirekebishe Kama kumbukumbu zangu haziko sahihi)StarBoy
Mwaka upi Bro StarBoy aliwahi kuwa nomination au kupitia Album ya Drake-Views. Coz alihusika kwenye One DanceYeah star boy ni noma....au unamlinganisha na Burna boy sababu Burna boy kaingia kwenye Grammy awards....ila kumbuka hata wiz kid alishawahi kuingia....(Nirekebishe Kama kumbukumbu zangu haziko sahihi)
Yah ndo maana nimesema unirekebishe Kama nimekosea...!ok....Nimekumbuka aliingia kupitia views......Na come closer iliingia kwenye nomination gani kubwa...?Mwaka upi Bro StarBoy aliwahi kuwa nomination au kupitia Album ya Drake-Views. Coz alihusika kwenye One Dance
sema Starboy bhana Ananata sana. Anatembea na kila aina ya biti. Alafu ana njaa sana sio mtu wa kuridhika. Davido pia fighter sanaa.Yah ndo maana nimesema unirekebishe Kama nimekosea...!ok....Nimekumbuka aliingia kupitia views......Na come closer iliingia kwenye nomination gani kubwa...?
Kuiteka AfrikaUnazungumzia ubora gani?
burna Boy_YeYe ye yeye yeyeyeye yeyeye.....yeeeeyee yeye...yeyeyeyeye..yeye
Wizkid ni moto?Zaidi ya Wizkid ..hapana.
Ye ye yeye yeyeyeye yeyeye.....yeeeeyee yeye...yeyeyeyeye..yeye
Ye ye yeye yeyeyeye yeyeye.....yeeeeyee yeye...yeyeyeyeye..yeye
YereeWizkid ni moto?
sawaYeree