Burigi Chato kumenoga jionee

shetani mweusi

Senior Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
132
Reaction score
116
We are camping here from today. Hii ni kuwajuza umma kuwa Hifadhi ya Taifa ya #BurigiChato pako tayari kwa utalii - kwa hiyo watanzania wote, wageni kutoka nchi mbalimbali, wahaya wote, waganda Kyaka, wasubi, washubi, wahangaza, wanyambo, wazinza, waganda, wasukuma, wanyarwanda na warundi wanaweza kuja hapa Xmas na Mwaka mpya na kuendelea! #TanzaniaUnforgettable #HK #TwenzetuBurigiChato


 
Ushauri,hayo majani mngekata kwa kutumia Lawn mower,hii mngeifanya mapema kabla watalii hawajaanza kufika, patapendeza zaidi kuliko kutumia fyekeo ya kawaida,na hii ni kwa hayo maeneo ya karibu yanayozunguka hizo Tents...
 
Hongera sana Mh.Kigwangala juhudi zako binafsi tumeziona
 
Ukipiga totoz hapo mbugani safi sana
 
Leo ndio nimekufahamu
 
kweli kumenoga
 
Umeweka picha ambacho ni kitu kizuri lakini tunaomba utufafanulie hapo ni wapi, ni Chato au Burigi!?
Nauliza hivi maana kwa uelewa wangu Burigi na Chato ni maeneo mawili tofauti na kuna umbali wa karibia Kilometa 300!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…