Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
- Thread starter
-
- #41
Bibi yangu alishakufa mkuu...Full upuuzi,walikufa mitume watakatifu kama yesu na mohamed sembuse huyo unayemwongolea, kifo ni haki ya kila nafsi iliyo hai, ulitaka akufe bibi yako?
Alisaini ndio, Lakini tunataka vyeti vya Daudi Bashite viwekwe hadharaniMkataba ndo uliomuondoa. Sasa wewe kama mtu wake wa karibu hebu tujibu, alisign au hakusign!?
Inawezekana ingawa mimi sijaona anavyopokeaKama makonda anavyopokea sasa, siyo
Sasa mbona umeshindwa kuleta malalamiko ya kifo cha bibi yako unaamua kuleta habari za Wilson?Bibi yangu alishakufa mkuu...
Hakuna kitu kama hicho mtu akifa amekufaKabwe amekunja roho huko kaburini ndiyomaana Bashite machozi hayakatiki.
Mkuu yaelekea unatumia makalio kufikiri, kama mtu alikuwa anahujumu uchumi ktk mkoa ambao ww ni mkuu wa mkoa ungenyamaza??? Ebu acha kufikiri kwa kutumia matako.Huyu alikuwa mlezi kwangu, ndiye aliyenitafutia shule wakati namaliza O level ili nianze safari ya kwenda advance level(alikuwa rafiki wa baba yangu mzazi na walishirikiana mengi pamoja na suala la elimu yangu) . Nilimjua kama msomi mwanasheria ambaye alikuwa mzoefu katika uongozi wa umma watu wa mbeya na kwingine alipopita wanaweza shuhudia hili (ingawa hakuna aliyekamilika mapungufu yanaweza kuwepo kwani ndo sifa ya kila mwanadamu). Niwe mkweli niliumia sana kusikia mkuu wa mkoa akimtaja kama mtu wa hovyo asiyeweza fanya nae Kazi pale kigamboni siku ya uzinduzi wa daraja la NYERERE. Niliumia zaidi sababu nilijua kuwa wakati ule marehemu alikuwa na hali mbaya kitandani nchini India. Siamini kama mkuu wa mkoa hakulitambua hili. Lakini katika kujiona msafi, mcha mungu akaamua kumpiga jiwe maiti, kwa hili nashindwa kuamini kama Makonda kweli ni mcha mungu, sababu kwa mtu yoyote mcha mungu asingeweza kuyafanya yale wakati anajua fika mzee Kabwe alikuwa kitandani. Hayo yamepita lakini imeniuma zaidi kuona mtu aliyepata sifuri O level na anayetumia vyeti sio vyake kumkataa mtu msomi, mwenye vyeti vyake na kufanikiwa kumtoa kwenye nafasi yake kwa aibu.
Makonda kama unataka ahueni katubu na muombe radhi marehemu Kabwe labda mizimu yake itaacha kukuandama. Umewakosea wengi ila hili la Kabwe litakutafuna milele.
Sasa nimeamini hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.
Naunga mkono hoja yako. Lakini vyeti havihusiani na yeye kusign mkataba.Alisaini ndio, Lakini tunataka vyeti vya Daudi Bashite viwekwe hadharani
AhsanteMkuu yaelekea unatumia makalio kufikiri, kama mtu alikuwa anahujumu uchumi ktk mkoa ambao ww ni mkuu wa mkoa ungenyamaza??? Ebu acha kufikiri kwa kutumia matako.
Nilimfahamu marehemu wakati akiwa mbeya. Alivyoingia mkoani hapo, wengi walikuwa hawamuelewi na wengine walipendekeza kuwa aondolewe na hafai Lakini baada ya muda walimuelewa vizuri sana na walisikitika sana wakati anaondoka. Aliacha mbeya kuwa ni jiji linaloeleweka.Huyu alikuwa mlezi kwangu, ndiye aliyenitafutia shule wakati namaliza O level ili nianze safari ya kwenda advance level(alikuwa rafiki wa baba yangu mzazi na walishirikiana mengi pamoja na suala la elimu yangu) . Nilimjua kama msomi mwanasheria ambaye alikuwa mzoefu katika uongozi wa umma watu wa mbeya na kwingine alipopita wanaweza shuhudia hili (ingawa hakuna aliyekamilika mapungufu yanaweza kuwepo kwani ndo sifa ya kila mwanadamu). Niwe mkweli niliumia sana kusikia mkuu wa mkoa akimtaja kama mtu wa hovyo asiyeweza fanya nae Kazi pale kigamboni siku ya uzinduzi wa daraja la NYERERE. Niliumia zaidi sababu nilijua kuwa wakati ule marehemu alikuwa na hali mbaya kitandani nchini India. Siamini kama mkuu wa mkoa hakulitambua hili. Lakini katika kujiona msafi, mcha mungu akaamua kumpiga jiwe maiti, kwa hili nashindwa kuamini kama Makonda kweli ni mcha mungu, sababu kwa mtu yoyote mcha mungu asingeweza kuyafanya yale wakati anajua fika mzee Kabwe alikuwa kitandani. Hayo yamepita lakini imeniuma zaidi kuona mtu aliyepata sifuri O level na anayetumia vyeti sio vyake kumkataa mtu msomi, mwenye vyeti vyake na kufanikiwa kumtoa kwenye nafasi yake kwa aibu.
Makonda kama unataka ahueni katubu na muombe radhi marehemu Kabwe labda mizimu yake itaacha kukuandama. Umewakosea wengi ila hili la Kabwe litakutafuna milele.
Sasa nimeamini hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.
Zore coca haina cheti mkuu in ile leaving tuu Poor BashiteBado tu hajaleta vyeti?
Mkuu, kwani madereva hutakiwa kwenye vyeti vya taaluma wawe na fa fa fa fa fa aaaa?Aliye mshutumu hakuwa na uhalali wa kufanya vile.. Alitakiwa awe dereva wa Kabwe na si boss wa Kabwe kwa mujibu wa Magufuli
Maneno ya Makonda yalikuwa risasi iliyomuua Marehemu Kabwe.Damu ya Kabwe itam-haunt maisha yake yote.Huyu alikuwa mlezi kwangu, ndiye aliyenitafutia shule wakati namaliza O level ili nianze safari ya kwenda advance level(alikuwa rafiki wa baba yangu mzazi na walishirikiana mengi pamoja na suala la elimu yangu) . Nilimjua kama msomi mwanasheria ambaye alikuwa mzoefu katika uongozi wa umma watu wa mbeya na kwingine alipopita wanaweza shuhudia hili (ingawa hakuna aliyekamilika mapungufu yanaweza kuwepo kwani ndo sifa ya kila mwanadamu). Niwe mkweli niliumia sana kusikia mkuu wa mkoa akimtaja kama mtu wa hovyo asiyeweza fanya nae Kazi pale kigamboni siku ya uzinduzi wa daraja la NYERERE. Niliumia zaidi sababu nilijua kuwa wakati ule marehemu alikuwa na hali mbaya kitandani nchini India. Siamini kama mkuu wa mkoa hakulitambua hili. Lakini katika kujiona msafi, mcha mungu akaamua kumpiga jiwe maiti, kwa hili nashindwa kuamini kama Makonda kweli ni mcha mungu, sababu kwa mtu yoyote mcha mungu asingeweza kuyafanya yale wakati anajua fika mzee Kabwe alikuwa kitandani. Hayo yamepita lakini imeniuma zaidi kuona mtu aliyepata sifuri O level na anayetumia vyeti sio vyake kumkataa mtu msomi, mwenye vyeti vyake na kufanikiwa kumtoa kwenye nafasi yake kwa aibu.
Makonda kama unataka ahueni katubu na muombe radhi marehemu Kabwe labda mizimu yake itaacha kukuandama. Umewakosea wengi ila hili la Kabwe litakutafuna milele.
Sasa nimeamini hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.
DAAAAH, JAMANI HEBU TUACHE UONGO, KABLA YA KUPOST TUFANYE TAFITI KWANZA WE NANI KAKWAMBIA MIKATABA YOTE YA HALMASHAURI ANASAINI MWENYEKITI HUSIKA WA HALMASHAURI? TUFANYE TAFITI HALAFU NDO UPOST, KAMA HUNA UHAKIKA BORA UONESHE KUWA HUNA UHAKIKA AU UNAMASHAKA ILI KUPATA MSAADA!Ninachojua kwenye Halmashauri zote anaye saini mikataba ni Mwenyekiti/Mayor wa Halimashauri husika. Sasa sijui kama Marehemu aliadhibiwa kwa yeye kusaini mikataba au kwa kuwa yeye akiwa nimtendaji mkuu wa halimashauri husika alishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo kwenye mikataba. Ila haka kajamaa kameshiriki kikamilifu kudhalilisha taaluma za watu nahata mzee Kabwe kalimdhalilisha na hii nikwa sababu kalijiona kama kana zero nakakepewa ukuu wa mkoa kakajiona kanaweza kufanya lolote lile hata kama hakana utaalam wake!
Binafsi Bashite mwanzo nilimuona kama mchapakazi kumbe uchapakazi wake ulikuwa wa kujitutumua tu ili kaonekane kana jua kumbe kabwege tu! Hakuna kitu kinachouma kama kudhalilisha Professional ya mtu tena unadhalilishwa na mtu aliye ungaunga tu kama ndorobo
Huyu alikuwa mlezi kwangu, ndiye aliyenitafutia shule wakati namaliza O level ili nianze safari ya kwenda advance level(alikuwa rafiki wa baba yangu mzazi na walishirikiana mengi pamoja na suala la elimu yangu) . Nilimjua kama msomi mwanasheria ambaye alikuwa mzoefu katika uongozi wa umma watu wa mbeya na kwingine alipopita wanaweza shuhudia hili (ingawa hakuna aliyekamilika mapungufu yanaweza kuwepo kwani ndo sifa ya kila mwanadamu). Niwe mkweli niliumia sana kusikia mkuu wa mkoa akimtaja kama mtu wa hovyo asiyeweza fanya nae Kazi pale kigamboni siku ya uzinduzi wa daraja la NYERERE. Niliumia zaidi sababu nilijua kuwa wakati ule marehemu alikuwa na hali mbaya kitandani nchini India. Siamini kama mkuu wa mkoa hakulitambua hili. Lakini katika kujiona msafi, mcha mungu akaamua kumpiga jiwe maiti, kwa hili nashindwa kuamini kama Makonda kweli ni mcha mungu, sababu kwa mtu yoyote mcha mungu asingeweza kuyafanya yale wakati anajua fika mzee Kabwe alikuwa kitandani. Hayo yamepita lakini imeniuma zaidi kuona mtu aliyepata sifuri O level na anayetumia vyeti sio vyake kumkataa mtu msomi, mwenye vyeti vyake na kufanikiwa kumtoa kwenye nafasi yake kwa aibu.
Makonda kama unataka ahueni katubu na muombe radhi marehemu Kabwe labda mizimu yake itaacha kukuandama. Umewakosea wengi ila hili la Kabwe litakutafuna milele.
Sasa nimeamini hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.
DAAAAH, JAMANI HEBU TUACHE UONGO, KABLA YA KUPOST TUFANYE TAFITI KWANZA WE NANI KAKWAMBIA MIKATABA YOTE YA HALMASHAURI ANASAINI MWENYEKITI HUSIKA WA HALMASHAURI? TUFANYE TAFITI HALAFU NDO UPOST, KAMA HUNA UHAKIKA BORA UONESHE KUWA HUNA UHAKIKA AU UNAMASHAKA ILI KUPATA MSAADA!
ngoja nikupe somo kidogo, mara zote mikataba ya halmashauri husainiwa na Mwenyekiti, mkurugenzi na mwanasheria wa halmashauri/serikali! Lazima pawepo na uwakilishi wa serikali, uwakilishi wa wananchi na ofisi ya mwanasheria (hapa sasa unapa mihimili yote mitatu yaan serikali, bunge na mahakama) tena mkurugenzi yeye ndo anakuwa sehemu ya ushauri wa kitalaam zaid kwa kuwa anasupporting officers (Wakuu wa idara). Ndio maana inapotokea shida ya mikataba anayewajibishwa ni mkurugenzi kwa kiasi kikubwa kwa kuwa yeye ndo mtaalam na anawataalam wa kila aina tena anaweza hata kuazima wataalam kutoka kwa RAS ikibidi! Kama hujui au umesahau omba nikukumbushe bureeeee!Tatizo hujui muundo wa Halmashauri upoje kama Mkurugenzi amesaini Mkataba kwenye Halmashauri yeyote ile basi jua Baraza la Madiwani limevunjwa ila kama Baraza la Madiwani li hai anayesaini mikataba ya halmashauri ni Mwenyekiti wa Halimashauri husika ambaye Mstahiki Mayor kwa Halmashauri zenye hadi ya Manispaa! So nadhani wewe ndo hujafanya utafiti na unataka kudanganya watu hapa, so wewe ndo mwongo mm ni mkweli! Fuatilia utajua mm najua!
yatasemwa mengi juu yake
lakini huyu ndio shujaa wa vita dhidi ya madawa ya kulevya