Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Punguza povu, halafu rudia kuandikaWacha kelele wewe. Huyo Marehemu alitumbuliwa kwasababu ya vyeti vya Makonda au sababu ya wizi wake na mikataba ya figisu pale Ubungo?
Kutumbua mwizi wa mali ya umma haijalishi elimu ya kwenye makaratasi ya mtumbuaji. Hata angelikuwa kihiyo angelimdaka tu.
Kwa watu wa Kolomije lazima mje kwa style hii, hahaha viva NgoshazWewe usituletee figisufigisu yeye apumzike kwa amani tu huko aliko ila ukweli ni kwamba alichotufanyia huku mwanza anajua mwenyewe na wahusika waliohusika na upigaji wa viwanja viwanja vya kliniki na jengo la makongoro
Uliwahi kukuona huo mkataba? Pale daraja la NYERERE? Mkataba alisaini peke yake... Think before you comment... Jamaa alikuwa mahututi kitandani was it fair to be treated in such a way, tena kwa tuhuma tuu.Mkataba ndo uliomuondoa. Sasa wewe kama mtu wake wa karibu hebu tujibu, alisign au hakusign!?
Wewe usituletee figisufigisu yeye apumzike kwa amani tu huko aliko ila ukweli ni kwamba alichotufanyia huku mwanza anajua mwenyewe na wahusika waliohusika na upigaji wa viwanja viwanja vya kliniki na jengo la makongoro
Aliye mshutumu hakuwa na uhalali wa kufanya vile.. Alitakiwa awe dereva wa Kabwe na si boss wa Kabwe kwa mujibu wa MagufuliWacha kelele wewe. Huyo Marehemu alitumbuliwa kwasababu ya vyeti vya Makonda au sababu ya wizi wake na mikataba ya figisu pale Ubungo?
Kutumbua mwizi wa mali ya umma haijalishi elimu ya kwenye makaratasi ya mtumbuaji. Hata angelikuwa kihiyo angelimdaka tu.
Mlimpeleka mahakama ipi marehemu Kabwe akapatikana na hatia?Wacha kelele wewe. Huyo Marehemu alitumbuliwa kwasababu ya vyeti vya Makonda au sababu ya wizi wake na mikataba ya figisu pale Ubungo?
Kutumbua mwizi wa mali ya umma haijalishi elimu ya kwenye makaratasi ya mtumbuaji. Hata angelikuwa kihiyo angelimdaka tu.
Kama mzoefu kwenye ofisi za umma, watu wote ambao professionally ni incompetent huwa na hulka ya kujitutumua the likes of Bashite... Wanafunika mtego na majani.Ninachojua kwenye Halmashauri zote anaye saini mikataba ni Mwenyekiti/Mayor wa Halimashauri husika. Sasa sijui kama Marehemu aliadhibiwa kwa yeye kusaini mikataba au kwa kuwa yeye akiwa nimtendaji mkuu wa halimashauri husika alishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo kwenye mikataba. Ila haka kajamaa kameshiriki kikamilifu kudhalilisha taaluma za watu nahata mzee Kabwe kalimdhalilisha na hii nikwa sababu kalijiona kama kana zero nakakepewa ukuu wa mkoa kakajiona kanaweza kufanya lolote lile hata kama hakana utaalam wake!
Binafsi Bashite mwanzo nilimuona kama mchapakazi kumbe uchapakazi wake ulikuwa wa kujitutumua tu ili kaonekane kana jua kumbe kabwege tu! Hakuna kitu kinachouma kama kudhalilisha Professional ya mtu tena unadhalilishwa na mtu aliye ungaunga tu kama ndorobo
Kabwe was a sacrificial lamb... (Kondoo wa kafara). Nahis kuna watu walitamani Kabwe afe haraka ili wafiche maovu yao, siamini hata kulikuwa na ufisadi eti Kabwe alihusika peke yake.. Watu waliona anachelewa kufa wakaona wa accelerate kifo chake kupitia bwana mdogo Bashite wakati marehemu yu kitandani.Alichowafanya Mwanza Kitu gani, wakati nyuma yake na mbele yake inasemekana kulikuwa na mkono mrefu wa serikali, kama Mwanza aliharibu yeye kama yeye mbona Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa haikumtia hatiani? Siasa ndo zinazotuharibu nchi hii!
Makonda alimuambia mh. Rais mbele ya kadamnasi kuwa jamaa kasign. Sasa wewe unabisha nini!!? Unataka kusema Makonda alimpa mh rais taarifa za uongo!!? Kwa hiyo unataka kusema ugonjwa ndo unamuondolea mtu makosa aliyoyafanya!!? Napata tabu kuhusu uelewa wako wa mamboUliwahi kukuona huo mkataba? Pale daraja la NYERERE? Mkataba alisaini peke yake... Think before you comment... Jamaa alikuwa mahututi kitandani was it fair to be treated in such a way, tena kwa tuhuma tuu.
Makonda alimuambia mh. Rais mbele ya kadamnasi kuwa jamaa kasign. Sasa wewe unabisha nini!!? Unataka kusema Makonda alimpa mh rais taarifa za uongo!!? Kwa hiyo unataka kusema ugonjwa ndo unamuondolea mtu makosa aliyoyafanya!!? Napata tabu kuhusu uelewa wako wa mambo
Ushujaa kumtaja Mbowe na Gwajima au? Wema Sepetu, TID, Mr. Blue hivi hawa wanafanana na kina El Chapo kweli?yatasemwa mengi juu yake
lakini huyu ndio shujaa wa vita dhidi ya madawa ya kulevya
Ushujaa kumtaja Mbowe na Gwajima au? Wema Sepetu, TID, Mr. Blue hivi hawa wanafanana na kina El Chapo kweliyatasemwa mengi juu yake
lakini huyu ndio shujaa wa vita dhidi ya madawa ya kulevya