Buriani ndugu yetu, born 1977, dead 2015

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,258
Tulikupenda lakini Watanzania wenye kujitambua wamekupenda zaidi
 

Attachments

  • 1440342403865.jpg
    34.2 KB · Views: 715
Magufuli amekuwa Serikalini miaka 20 lakini anavyoongea as if hakuwemo kwenye Serikali..

Kwanini hakutoa mawazo yake kwenye Baraza la Mawaziri,,,?
 
Ni kweli yan hata Mkapa wa ccm anatoa matus na kutukana watui!!! Kweli hawa ndiyo kifo chao Oct 25
 
Magufuli amekuwa Serikalini miaka 20 lakini anavyoongea as if hakuwemo kwenye Serikali..

Kwanini hakutoa mawazo yake kwenye Baraza la Mawaziri,,,?

Muulize Lowassa aliyekuwa sikuzote hapo.

Magufuli ana historia yakutenda anachosema.Hajawahi kutuangusha kama yule fisadi aliyeishia kutuibia pesa.
 
Muulize Lowassa aliyekuwa sikuzote hapo.

Magufuli ana historia yakutenda anachosema.Hajawahi kutuangusha kama yule fisadi aliyeishia kutuibia pesa.

Lowassa ameshagundia haiwezekani ndani ya CCM... So usimlinganishe LOWASSA wa UKAWA na MAGUFULI wa CCM...

Tunapambana na MFUMO sio mtu... Adui yetu ni CCM..
 
Chini y auongozi wake e.l muda mfupi tu zilikuja shule za kata na wazo la dispensery za kila kata alikuwa kwenye utekelezaji wake!!!!!!!!!!!! Na walimu kwenye shule za kata walkikuwa kwenye programme zake....alipoondoka tu ...mkaona chenga kila jambo hata aliloliamasisha hamkuweza kusimamia.....huwezi mfananisha kiwepesi.... Tu!!!!
Nb:
Watendaji wa serekali walikuwa kama mungu watu kabla ya e.l ila wakati wake waliwajibika na kuwajibishwa ....je hili pia hulijui....au mnajitia uchizi????
 
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.
Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
uhubiri 1:9,14





<form rel="async" class="live_1459378887701963_316526391751760 commentable_item" method="post" data-ft="{&quot;tn&quot;:&quot;]&quot;}" action="https://www.facebook.com/ajax/ufi/modify.php" data-live="{&quot;seq&quot;:&quot;1459378887701963_1459585697681282&quot;}" id="u_jsonp_8_v" style="margin: 0px; padding: 0px;">
</form>
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.
Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
uhubiri 1:9,14





<form rel="async" class="live_1459378887701963_316526391751760 commentable_item" method="post" data-ft="{&quot;tn&quot;:&quot;]&quot;}" action="https://www.facebook.com/ajax/ufi/modify.php" data-live="{&quot;seq&quot;:&quot;1459378887701963_1459585697681282&quot;}" id="u_jsonp_8_v" style="margin: 0px; padding: 0px;">
</form>

Magufuli amekuwa Serikalini miaka 20 lakini anavyoongea as if hakuwemo kwenye Serikali..

Kwanini hakutoa mawazo yake kwenye Baraza la Mawaziri,,,?
 
Tulikupenda lakini Watanzania wenye kujitambua wamekupenda zaidi


Wewe mchokozi kweli kweli. Ukisikia watu wanalambwa nondo mitaani basi ni wewe.

Nimeipenda lakini.

Omba kazi funeral services uwe una-design majeneza. Kipato kizuri sana. - LOL
 
Magufuli amekuwa Serikalini miaka 20 lakini anavyoongea as if hakuwemo kwenye Serikali..

Kwanini hakutoa mawazo yake kwenye Baraza la Mawaziri,,,?


MAGUFULI NA SUMAYE NANI ALIKUWA MKUBWA UKIPATA JIBU SOMA HAPA CHINI

Tumia akili kufikiri na siyo masabauri hayo siyo maamuzi magumu bali ni maamuzi ya kipumbafu na kinafiki sumaye aliwezaje kuitumikia serikali akiwa waziri mkuu kwa miaaka kumi wakati mabaya yote ya CCM anayoitukanaa leo maamuzi yake alishiriki? Leo hii anapata wapi ujasiri wa kutuambia mabaya juu ya CCM wakati kwa miaka kumi alikuwa akifurahia ukuu aliopewa kwa kuhangaika kulipa visasi kwa baadhi ya watu aliowachukia akiwemo mtu mdogo afisa mifugo mkoa wa Dodoma wa wakati huo? Na juzi nimemsikia anadai eti CCM hawajui umuhimu wake alitaka afanyiwe nini kama waziri mkuu mstaafu tofauti na wenzake kama MSUYA, DR SALIMU MALECELA NA WARIOBA? Kwa kujona yeye ni bora kuliko wengine anaahidi kisasi kwa Kikwete, maana kwa nafasi yake akisema chama kilichompa ukubwa ni kibaya maana yake anamsema moja kwa moja mwenyekiti wa chama hicho hakuna mkubwa kuliko huyo.
kwa roho yake hiyo ya kisasi nawashangaa watu wanaochekelea ujio wa EL na FS upinzani kwakuwa wamekuja kuungamiza upinzani badala ya kuuimarisha ni nani mwenye akili timamu atakaye waamini malimbukeni hawa wanaohangaika kutafuta madaraka kwa nguvu?

Ukanda walioupanga kwa kujidanganya kuwa watatawala nchi hii kwa ujinga wao wa kikabila na ukanda imekula kwao. Hivi hata kama una matope kichwani kama ulivyo wewe Sumaye atakuambia nini juu ya CCM na umuamini, rushwa anayoisema alishindwa nini kuizuia kwa miaka kumi ya uwaziri mkuu wake leo hii akuaminishe anayosema umuamini? Msikurupuke tu kushabikia ujinga na tamaa ya madaraka kwa kudanganywa na mtu ambaye hata wilayani kwake alishindwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake hivi wewe unamfahamu SUMAYE kuliko Mzee Mkapa aliyemuita Mpumbavu? Jiulize hata kwenye dini mtu anabatizwa leo na leo hiii unampa uaskofu hiyo dini kaisoma lini na kuielewa misingi yake? Leo hii mtu kaslimu na tayari unampa uimamu je madrasa kasoma lini haiwezekani EDWARD NA FREDY WAINGIE CHADEMA LEO NA WAGOMBEE URAIS CHADEMA WALIIJUA LINI KATIBA YAKE NA SERA ZAKE? NDIYO MAANA MIMI nitachagua CCM kwakuwa EL NA FS wameenda na sera za ccm ndiyo wanazotumia na siyo za cdma lakini hata hivyo kwa nini top officers wote wa ukawa ni north zone ina maana watz wengine hawana sifa za kuwa wakuu wa ukawa mpaka north tu?

Mwenye akili atajua nini kilichoko nyuma ya pazia lakini wajinga mtaendelea kushabikia na kupandiwa ngazi ili kufanikisha malengo ya ukanda wa kaskazini kwa kudanganywa eti mnakombolewa hivi unakombolewa toka wapi huyo anayedai kukukomboa alishindwa nini kukukomboa kwa miaka kumi alikuwa waziri mkuu? Yale mashamba ekari miatano alizowadhululmu maskini wa Morogoro kwa kutumia nafasi yake ya uwaziri mkuu ndiyo ukombozi anaotuhadaa kutukomboa? Yeye na genge lao wapotelee mbali na ikulu hawataingia labda waingie kwa nguvu lakini si kwa ridha ya watanzania weye akili timamu
 
Mkuu BADO MMOJA, hoja yako ya ukaskazini sioni km ina mashiko...CCM mkienda na propaganda hii kwny campaign Zenu mwaka ni hakika mtapotea vibaya sana...

Kumbukeni miaka ya nyuma mlikuja na propaganda za kuwa CHADEMA ni chama cha uchagga, mara chama cha kikristo...mara mgombea wake (Dk Sla) ni padre na hivyo kutengeneza chuki kwa wasio wakristo wasimchague!
Mkaja kwa CUF mkadai ni chama cha kiislsmu, watu wajinga wakawaamini...mkaja na propaganda za majambia ya CUF...sasa ni wazi kuwa Watanzania wameshagundua janja yenu...kuthibitisha hilo angalieni kwny mikutano yenu idadi ya watu wansohudhuria licha ya kuwalipa na kuwasomba kwa malori!

Mgombea wenu badala ya kunadi sera anauliza maswali ya kipuuzi kabisa...ajabu ni kwamba hata JK kwny moja ya mikutano huko nje aliwahi kuuliza kuwa hajui ni kwanini Tanzania ni maskini....Rais wa nchi anayoongoza hajui ni kwann nchi yake ni maskini???

Shame on u JK!
Mwaka huu mmeshikwa papaya sana!
 
Last edited by a moderator:


Unaniandikia yote haya imekuwa RIWAYA... huna kazi nini?? au ndo buku saba @ work... Kama hujui ku-summary jirekodi haya uliyoandika then u-attach humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…