Buriani Mwalimu Kaijage

Poleni sana Wana-ACT Wazalendo.

Futa Machozi Habibu Mchange
Maana vyote vyenye mwanzo vina mwisho. Mwl Kaijage amekamilisha kuandika historia ya maisha yake humu duniani.

Pumzika kwa Amani Mwalimu Joshua Kaijage Kilembwe.
 
Mtu anaeleza hisia zake juu ya marehemu watu mnaanza kumponda!!!! Ama kweli kuna watu wa kipekee humu ndani




Pamoja na hisia alizonazo,alipaswa aliambie jukwaa chanzo cha kifo cha mpendwa wetu,alikuwa anasumbuliwa na nini hadi kufikwa na umauti?Hakuna popote alipoliambia jukwaa zaidi ya kuonesha umahiri wake wa kutoa hisia za moyo wake na kuzileta jukwaani.

R.I.P Mwl.Kaijage.
 
Lea familia yake kumuenzi.

Love you all...
 
Pamoja na kwamba Mleta uzi ni adui wa mabadiliko , lakini sina budi kuwapa pole wafiwa wote .
 
Mkuu pasco ulikimbilia sana kuchota sifa kwa ID yako hii ona sasa ulivyokosa ujasiri kama wa ID ile....
Mkuu lengo lisiwe kuchota sifa bali kuwa mkweli na muwazi zaidi na sio nyuma ya Kivuli.
Paskali
 
Nami nasita kumtakia "Pumziko la Amani" labda atafufuka! Ee, Mungu usikubali ufalme wako urudishwe nyuma ila mapenzi yako yatimizwe!. Mpe pumziko la Amani ndugu na rafiki yangu Mwalimu Kaijage!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…