Buriani Mwalimu Kaijage


R.I.P Kaijage, wote tuko njia moja
 
Pumzika kwa amani Mwl Kaijage,hiyo ni njia yetu sote.
 
Acha mfe tu msio na faida katika jamii zaidi ya kuchochea uccm na ushetani wake.
 
Anzisha Mada nyingine ya kumuhusu Habibu mchage na uadilifu wake lakini hapa ni habari ya msiba,
Kitu ambacho hakuna mwanadamu atakayekwepa.
Hayo Maneno umweleze umweleze Habibu mchage kuwa hakuna mwanadamu atakayekwepa kifo..maana alimtukana sana Mzee lowassa siku ile ya ufunguzi pale mbagara.

Hana credibility ya kuandika tanzia..hana maadiili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…