TANZIA Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz

TANZIA Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz

Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.

Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.

JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.

Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.

Lala kwa amani Ninja

Pole nyingi Kwa familia ya Mr F SANGA,
Marehem alikuwa role modo, kitaa hapa walikuwa wanataka kuwa Kama Dr sanga
Namimi na disclose other information
 
uwiiiiiii...uwiii....nn kimemsibu? jamani aliwahi nitxt...aise kweli kifo ni fumbo ..nimeumia mno mno..rip Mshikaji
Alikuwa anamhudumia mgonjwa, akasema hajisikii vizuri anaenda wodini kupumzika. Alipofika wodini, akakipanda kitandani cha wodini, hakuamka tena.
 
Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho. Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.
Alijua anakaribia kufa?

Unajua ungefanya la maana kama bila ku-disclose unhesema tu kuwa member fulani wa JF hatunae tena. Bado tusingejua alikuwa nani na tungerudi kuangalia michango yake na kumkumbuka kwa hayo. Na bado uneweza kuweka hii thread bila kutamka alikuasa ili tusiunganishe. Ingekuwa bora zaidi
 
Miaka 2 imekata kama utani ..ila mshikaji na mahusiano yake yalichangia sana kwa kiasi kikubwa akawa mraibu wa pombe kupita kiasi ,nakumbuka alikua anasemaga "sifanyi kipimo chochote kikubwa najua siku nitakayofanya ndo siku nitakayokufa kwa presha".

Rest well Dr
Yule mama mkwe wake alikuwa anamroga sana mshikaji, na akahakikisha anamtenga G na ndugu zake wote, ili asiweze kusaidiwa
 
Duh kumbe
Yaani mshikaji alikuwa anaishi kwenye makaa ya moto, kila siku amlipie Mama Witi, yule mama mwenye pub ya Kingale, na mama yake Hawa sh. 40,000 rejesho, yaani hiyo ni daily.
Akiingia Bakwata, anatakiwa saa 4 asubuhi awarumie 20k ya chakula, kabla ya saa tisa arume 40k. Mshikaji kateswa sana
 
Back
Top Bottom