Buriani Barry Mwaga

TANMO;
Ni Barry Daimon Mwaga..

Poleni wafiwa.


Mkuu TANMO huyu Barry baba yake ndiye Profesa Mwaga alikuwa DVCA ST JOHN'S UNIVERSITY KABLA YA KIFO CHAKE?

cc
Ukweli1
 
Last edited by a moderator:
R.i.p barry... Ni mtoto wa marehemu prof daimon mwaga!
 
RIP barry, Profesa Mwaga alikuwa Lecturer wangu wa DS kabla ya Umauti kumkuta!

Thanks vengu for info,
 
Last edited by a moderator:
Nilisoma na Alice Ruoja shule ya Sekondary kule Morogoro. Alinitangulia darasa moja . Alipokua form six mimi nilikua form five. She was such a nice lady. May her husband's soul and hers rest in perfect peace. Mungu atainua watu wa kuwalea watoto wao
 
Mungu amlaze yeye na mke wake mahali pema peponi na awatie nguvu watoto na ndugu wa marehemu, huu ni mfano ambao sisi tuliobaki twatakiwa kujifunza kuwa ni muda wowote nyota zetu zaweza kuzima ghafla bila hata kutegemea!!
 
inasikitisha sana. Poleni watoto mliopoteza wazazi. RIP Barry
 

Pole sana wht happened? rip brthr!
 
Pole mpendwa. Naweza kupata hisia za kile unachokipitia. Kifo kinaumaaa hasa ukifiwa na MTU wako wa karibu unaempenda Sana na kumjali. Ila kumbuka tu ndio njia yetu sote.
 

Sasa mkuu kama unamfahamu na wadau wanauliza wasifu wake na wewe unaponda kuwa hajamtendea haki for such shallow and low info si ulieleze jukwaa? pengine mwenzetu majonzi aliyonayo anawhindwa kuandika zaidi.
MUNGU AWAFUTE MACHOZI WAFIWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…