Sina uhakika kama Steers ipo bado, Best Bite ipo , ila sija kwenda zidi hata ya miaka 20 , KFC sipendi chicken burgers , kiujumla burger nilizo penda ni Buger King (hatuna Bongo) na ile iliyo uzwa pale Petrol ststion kwenye container Morocco na sasa walihama kupisha upanuzi wa barabara , sijui wako wapi kwa sasa na mwisho ni hiyo Burger joint iliyo kuwepo hapo Posta zamni , naamini taste ya ilikuwa Nzuri sana .