Baada tu ya ile intervention ya Magu, kuchange dollar upate shilingi ilikuwa nafuu kuingia bank kuliko zile bureau de changes za nje japo nje walikuwa wanauza dollar kwa bei nafuu kidoogo
Banks nadhani target yao kubwa ilikuwa kukusanya dollars zaidi na kuzibania walizo nazo.