Bureau change 24hrs?

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
sorry jaman kwkuwasumbua...
Naombeni msaada ntapata wap bureau change ambayo ipo active adi asubuh
ninaweza umbuka apa leo
 
Pole kama umeumbuka,kama uko DSM siku nyingine nenda uwanja wa kimataifa,JKNIA.
Pole!
 
tnx waku nepata ase apa posta nia habib bank cjui
 
Kwanini utafute ya 24hrs? Huwezi kujipanga ukaenda muda wa kawaida?
 
Pole bana, naona ushazungusha round sasa zimeisha! Usije ukokosa pesa ya kukata tiketi
 
Unataka kupanga wizi ww? Bureau karibia zote K'koo ni 24hrs kajaribu bahati yako.
 
Back
Top Bottom