Heshima kwenu wote,
Nahitaji kununua bunk beds maarufu kama double decker.Nahitaji ziwe za chuma au mbao ila zilizo kwenye hali nzuri.
Mwenye nazo tuwasiliane,sanjari na picha na bei pia.
Zinahitajika Arusha,ila hata kama ziko eneo lingine tunaweza angalia uwezekano wa kusafarisha.
Zinahitajika kuanzia vitanda 6-10.
Asanteni.