Bunju-Posta Metro Line

Bunju posta kuna ile ngalawa iliyonunuliwa wameoewa wanajeahi naona wanaitest then mtapita bahatini mradi huo ulitakiwa uwe morogoro road mana ndo idadi kubwa ya magar na muhim coz international road

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Morogoro tayari kuna kuna BRT
 
Ni gharama sana kwa nchi kama tz kuweza kuwa na underground au over ground metro system. Chakushangaza London underground subway system imeanzishwa 1863.

Pengine mbadala wake kungekuwa na "expresss way" inayojitegemea mpaka labda tegeta yenye road toll ambapo magari yote yangepita, hiyo ni feasible kabisa. Kwa mfano Ghana wanayo Accra Tema Highway yenye 19km yakulipia ambayo ni "non-stop" na ilianzishwa na Kwame Nkurumah 1965.

Kingine kukiwa na angalau 6 lanes na overpass nadhani foleni inakuwa historia.
 
Attachments

  • 20190104_025850.png
    373.8 KB · Views: 25
Bado hatuna uwezo huo
 
Kwani bado tupo kwenye ujamaa?!
Sina uhakika saana. Ila nadhani sisi tupo kwenye Mixed Economy ila Misingi ya kijamaa ndiyo inayoendesha nchi bado.

Ikiwa sipo sahihi nirekebishwe kwa hili
 
Ni wazo jema, hata boat Bagamoyo -Posta inawezekana
Kwani Posta kuna nini hadi mpendekeze route ya Bunju-Posta? Kwanini isiwe Bunju-Kariakoo au Bunju-Karakata.
Posta pale watu huwa wanaenda kufanya nini?
 
Ni wazo Zuri, lakini kumbuka UMEME wetu unakatika alfajiri unarudi saa nne usiku.
 
Kwani Posta kuna nini hadi mpendekeze route ya Bunju-Posta? Kwanini isiwe Bunju-Kariakoo au Bunju-Karakata.
Posta pale watu huwa wanaenda kufanya nini?
Bunju-kariKoo utashuka Moroko utapanda mwendokasi,utafanya hivyo hivyo kwenda kwingine. Huko kwingine kuna mwendokasi aka BRT.
 
Gharama kiasi gani? Kama tunajenga SGR kwa 7tr kwanini hii tushindwe? Unajenga kwa phase kama SGR au BRT inavyojengwa.
 
Wazo zuri sana... nasikia South Africa moundombinu ya barabara imejengwa na watu binafsi!!

Tukikaa kusuburi serikali tutasubiri miaka 200..
 
Wazo zuri sana... nasikia South Africa moundombinu ya barabara imejengwa na watu binafsi!!

Tukikaa kusuburi serikali tutasubiri miaka 200..
Nacwatu binafsi wakijenga serikali itawa sabotage mpaka wajute awamu ya5 haikubaliani na hayo mambo ya private sector. Labda tudubiri 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya london bila shaka ilijengwa na watumwa (free labour)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…