Bunju-Posta Metro Line

I agree with you me nimeona watu binafsi wakitaka kuweka lami barabara zao wakizuiwa na serikali had nilishangaa mno aisee. We need to change our mindsets wazo lako ni best

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada dunia hii hakuna utakachotaka ukifanye wewe peke yako kifike mbali. Lazima ukitaka kufika mbali lazima ushirikiane na watu hasa Potential Personels. Mfano mzuri ni Dubai tunayoiona leo, ule mji haukujengwa na Mwarabu ila alichokifanya ni kushirikiana na mzungu kutokana na rasilimali aliyonayo yeye miji yake ijengeke.

Hapa kwetu badala ya kuwapa conditions za namna hiyo kwenye sehemu wanazo Exploit rasilimali zetu waijenge ile miji tukageuka wezi wa rasilimali zetu wenyewe. Poor Us. Fakin Poor
 
Madrid's recently-opened Metrosur line is 41 km long, with 28 stations, yet was completed in four years at around $58m per km.

Recent expansions in Paris and Berlin cost about $250 million per km.

Gharama zinabebeka....watekelezaji wamekusikia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri lakini tumalize zile basic necessities kwanza.
Zipo barabara nyingi Dar zinahitaji lami ya kawaida ili zipitike mwaka mzima
 
Pia inaweza kujenga kwa awamu. Mfano Mwenge-Posta 10km.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…