I hope wafanya maamuzi wataona kama wewe.Good idea na solution sustainable kujenga mwendokasi ni kuongeza tatizo kwa wasafiri maana hazija solve kitu zaidi ya mateso matupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuota.Badala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated bila dereva zitatumika. Station zinakuwa juu huko huko abiria wanapanda na kushuka kwa kidaraja juu ya barabara. Treni moja ni Sawa na mabasi ya mwendokasi manne au matano hivyo zinaweza kubeba watu 500-600 Kwa mara moja. Mfano wake ni hapo chini. Picha ya tatu ni stationView attachment 984917View attachment 984918View attachment 984919
I hope wafanya maamuzi wataona kama wewe.
Ndoto zina mipaka.Hata hio simu au pc uliotumia kuandika ilianza na ndoto. Pessimist.
Ndoto zina mipaka.
Chief bajeti ya kujenga hizi mambo labda Serikali nyingine sio hii japo najua uwezo upo. Kama tunanunua wapinzani na kurudia uchaguzi kwa ghalama kubwa kiasi kileBadala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated bila dereva zitatumika. Station zinakuwa juu huko huko abiria wanapanda na kushuka kwa kidaraja juu ya barabara. Treni moja ni Sawa na mabasi ya mwendokasi manne au matano hivyo zinaweza kubeba watu 500-600 Kwa mara moja. Mfano wake ni hapo chini. Picha ya tatu ni stationView attachment 984917View attachment 984918View attachment 984919
Mimi napinga wewe kubali, tatizo nini?Sioni unachopinga Hilo ni wazo zuri. Kila jambo duniani lilianza ka ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Full moon.
Nimefarijika uliposema uwezo upo. Inawezekana kujenga kwa awamu. Kama tumeweza SGR hata hii tunaweza.Chief bajeti ya kujenga hizi mambo labda Serikali nyingine sio hii japo najua uwezo upo. Kama tunanunua wapinzani na kurudia uchaguzi kwa ghalama kubwa kiasi kile
Sent using Jamii Forums mobile app