Habari za asubuhi wakuu,kumetokea ajali mbaya ya malori mawili ya kubeba mchanga kugongana uso kwa USP eneo La Kwa wagogo Bunju Barbara ya Bagamoyo hivyo Luna foleni kubwa kwa wale wanaotokea Bagamoyo Na wanaotoka mjini,inasemekana Hamna aliyepoteza maisha.
My take:hii barabara malori mengi yanaendeshwa kwa kasi bila tadhari.
Habari za asubuhi Wakuu
Kumetokea ajali mbaya ya malori mawili ya kubeba mchanga kugongana uso kwa uso eneo la kwa Wagogo Bunju jijini Dar, Barbara ya Bagamoyo
Hivyo kuna foleni kubwa kwa wale wanaotokea Bagamoyo na wanaotoka mjini.
Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha.
My take: Hii barabara malori mengi yanaendeshwa kwa kasi bila tadhari.
Hapo hapo ilipotokea ajali wiki jana malori haya yameua mtu mzima kweupeHii barabara ya Bagamoyo kuanzia tegeta ni finyu alafu wameruhusu mabasi ya mikoani kupita alafu uweke na fujo za malori sasa ...ni hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app