Bunju complex

Bunju complex

Arena? Kwani hiyo ni stadium? Hiyo ni kama Merseyside au Carrington, ni kiwanja cha mazoezi tu.
 
Mkuu maendeleo yoyoye huja kwa taratibu tutazoea tu ata hao walioendelea walianza kama ivi Simba yetu
Acha masihara Mkuu! Simba na Yanga zina umri wa miaka 80+, halafu unasema maendeleo yoyote huja taratibu?! Kwa vitu vidogo kama hivi Simba na Yanga walitakiwa kuwa navyo in 1970's, and latest 1990's; na kwa sasa ingekuwa wanafikiria kuwa na kitu kama Taifa ile, au angalau kama Shamba la Bibi! Na kwa kuthibitisha jinsi tulivyopiga usingizi wa pono, tunakuja kuamka wakati Dar es salaam mjini maeneo ya wazi yameisha, na kulazimika kukimbilia Bunju ambako kungestahili kwa timu zilizozaliwa in 1990's na sio kwa timu kama Simba na Yanga!!
 
Pamoja na kusa MO anahusika zaidi na ujenzi huo, nadhani ingekuwa vema jina la Simba liwe sehemu ya kuutambulisha uwanja huo.
 
Wanaofahamu wanieleze hapa!
Mo amewekeza/atawekeza kwa muda wa miaka mingapi kwenye club ya msimbazi?
Swali la msingi sana, pia kuna share za kwake na wanachama, je siku gawio likitoka na wanachama account zao zitasoma pia?
 
Tujifunze kuridhika na vidogo tunavyopata.
Hata wewe siku ulipopiga hatua moja utotoni ulifurahia Sana.
Hili taifa tuna safari ndefu sana! Kwa ukubwa wa Club ya Simba, huku ikiwa na mamilioni ya mashabiki na ikiwa na umri zaidi ya umri wa taifa la Tanzania, kushangilia kwa mbwembwe kitu kidogo kama hiki inaonesha wazi ni namna gani tulivyo na safari ndefu! Yaani ni kama yale ya kushangilia TAZARA Flyover!
 
Tujifunze kuridhika na vidogo tunavyopata.
Hata wewe siku ulipopiga hatua moja utotoni ulifurahia Sana.
Very good! Nilivyopiga hatua moja utotoni! Lakini leo nikipita mtaani nikishangilia kwa mbwembwe kisa baba kanunua baiskeli si nitaonekana mwehu ikiwa alikuwa na uwezo wa kununua hiyo baiskeli zaidi ya miaka 30 iliyopita!! Na ikiwa timu kama Simba iliyoanzishwa 1938 bado ipo utotoni, timu kama Coastal si ndo kwanza bado kichanga, huku timu kama Ndanda ndo kwanza mimba imetunga!!
 
myplusbee, Simba na yanga haziwezi acha kufanya maendeleo kisa zimechelewa ndio maana simba wameanza na uwanja wa mazoezi japo wamechelewa hiyo ni hatua na yanga waige mwanzo huu mzuri hata kama wanahisi wamechelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba na yanga haziwezi acha kufanya maendeleo kisa zimechelewa ndio maana simba wameanza na uwanja wa mazoezi japo wamechelewa hiyo ni hatua na yanga waige mwanzo huu mzuri hata kama wanahisi wamechelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mahali nimesema ziache kufanya maendeleo kwa sababu zimechelewa?!
 
Mo ana akili kuliko mashabiki ndezi wa Simba !! Huo uwanja ni wa Mo na sio wa Simba na kwamwe haitatambulika kwa jina la Simba !!
Hata kwenye document za uwanja hakuna jina la Simba ?!
Povu la nini?
 
.
Mo ana akili kuliko mashabiki ndezi wa Simba !! Huo uwanja ni wa Mo na sio wa Simba na kwamwe haitatambulika kwa jina la Simba !!
Hata kwenye document za uwanja hakuna jina la Simba ?!
IMG_20191222_201623_417.jpeg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom