Bunju complex

Mo ana akili kuliko mashabiki ndezi wa Simba !! Huo uwanja ni wa Mo na sio wa Simba na kwamwe haitatambulika kwa jina la Simba !!
Hata kwenye document za uwanja hakuna jina la Simba ?!
 
Hili taifa tuna safari ndefu sana! Kwa ukubwa wa Club ya Simba, huku ikiwa na mamilioni ya mashabiki na ikiwa na umri zaidi ya umri wa taifa la Tanzania, kushangilia kwa mbwembwe kitu kidogo kama hiki inaonesha wazi ni namna gani tulivyo na safari ndefu! Yaani ni kama yale ya kushangilia TAZARA Flyover!
 
Vipi mbona ni pitch tu. Au hio ni training complex pekeake?
 
Mkuu maendeleo yoyoye huja kwa taratibu tutazoea tu ata hao walioendelea walianza kama ivi Simba yetu
 
Wanaofahamu wanieleze hapa!
Mo amewekeza/atawekeza kwa muda wa miaka mingapi kwenye club ya msimbazi?
 
Hivi Yanga ina mashabiki wangapi na umri gani vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…