Bungeni: Wabunge wa CCM na hoja ya Upigaji kura wa Bajeti.

Si haki siyo mbunge alazimishwe kuzema ndiyo.
Anaweza asipende hoja chache zilizomo ni haki aseme lililo moyoni mwake
 
Kuna kauli za wabunge wa ccm unabaki unashangaa kabisa kuwa hivi hawa wana ubongo au tope? Wanashindwa kuelewa kuwa mahali kama Arusha RAIA wanalipa kodi kubwa na ndio inasaidia kujenga visima huko Kongwa? Sasa wao walipe kodi kisha usimamishe miradi kwao eti kwa vile mbunge hajaridhika na budget uchwara?
Basi tuamue kila eneo wajikusanyie kodi yao na kuitumia kwa maendeleo yao kisha tuone kama huko Kongwa huduma za afya hazijarudi kwa waganga wa jadi
 
Basi tunaotoka majimbo ya upinzani tusilipe kodi, tuanzishe revenue authority zetu zitakazotekeleza bajeti zetu uone hao wa ccm kama hawatakuwa wakimbizi mijini mwetu
 
Kuna kauli za wabunge wa ccm unabaki unashangaa kabisa kuwa hivi hawa wana ubongo au tope? Wanashindwa kuelewa kuwa mahali kama Arusha RAIA wanalipa kodi kubwa na ndio inasaidia kujenga visima huko Kongwa? Sasa wao walipe kodi kisha usimamishe miradi kwao eti kwa vile mbunge hajaridhika na budget uchwara?
Basi tuamue kila eneo wajikusanyie kodi yao na kuitumia kwa maendeleo yao kisha tuone kama huko Kongwa huduma za afya hazijarudi kwa waganga wa jadi
Ubaya ni kuna raia bado wanawasifu
 
Back
Top Bottom