Katika kipindi cha bungw jioni hii wakati anachangia hotuba ya ya bajeti ya ofisi ya Rais utawala bora Sugu alianza kwa kusema wale waliyomteka dk Ulimbóka na kama janjaweed walitumika na Alibashiri wa sudan hoja iliyompelekea waziri Mary Nangu kuomba muongozo wa ambapo alisema anaomba Sugu adhibitishe kauli yake ambayo hata hivyo hakusema ni kauli gani ndpo mwenyekiti alipomtaka kufuta kauli ya Janjaweed alitumika kukumtesa Dr. ndipo zogo likiąnza Sungu kagoma, Lisu anataka muongozo anakataliwa ikawa shika nikushike Mwenyekiti akapanic akajikuta anamruhusu sugu kuendelea kuchangia na amekataa kufuta kauli aliyoitaka kusema ambapo aliomba tume huru iundwe kuchukuza tukio hilo.