Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Ameomba asamehewe kwa kutukana bungeni
Ameomba asamehewe kwa kutukana bungeni
Aliasisi jk na EPAYaleyale ya kuiba na kurudisha,kama sio taifa la aibu twajenga basi sijui tunajenga taifa la namna gani.
Huyu nawe ni impotent tu
hakujua kama anatukana?anatakiwa akaombe ndani bungeni tusikie kama
alivyofanya wakati anatukana
Apelekwe polisi kama alivyosema makinda