Bungeni: Msigwa aongea 'point'

Tatizo ni kuwa Polisi imekubali kufanywa ni TAWI la CCM na kudhalilisha Raia wema
 

Nani alikuambia kwenye hilo tukio la Arusha chadema walikaidi....? watu walikuwa wakisubiri mazungumzo ya Lissu,viongozi wa chadema na polisi ili kujua shughuli ya maombolezo inahamishiwa wapi....bila ajizi "unskilled labors" wakaanza kurusha mabomu ya machozi na kufanya vurugu na zaidi kupora simu na mali zingine za raia....!
Tembelea nchi zingine ujionee shughuli ya kuzuia fujo
 

Unazijua haki za raia....? hiyo ya kwenda Ikulu umejifunzia wapi...? au Civics ulifanya kama Nape....?
Kanuni ni katiba yetu....Je katiba yetu ibara ya (15) kuanzia kifungu cha kwanza inasemaje?
 
Inaonekana uluvyo makini na wabunge wa CHADEMA!
Hta Serukamba, Rage, Nkamia huwa wanaongea point mida fulani kama walivyofanya wakati wa bajeti ya PM...
Linaposemwa jeshi la Polisi haimaanisha hawa ndugu zetu wafuata amri!
Wapo wale wateuliwa wa "Mwenyekiti na shemeji yake"...Hao ndo POLISI!
Kusema Polisi ni sawa na kauli kwamba watanzania ni maskini akiwemo Lowassa na Riz 1!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…