ameanza kupona naona
Naona ushaamka tayar kwa kupiga domoKwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Mkuu, nakubaliana na wewe kuwa wengi wa wabunge huko walikotoka hawakuwa kwenye misingi hiyo ya imani, hivyo kuwapa vitabu vitakatifu inaweza isiwe na tija. Ila nadhani una mfahamu Msigwa, huyu ni mchungaji, ana ongoza wana kondoo wa bwana, iweje yeye awe kinara wa matusi awapo bungeni? au akiingia bungeni ndio kuna ukomo wa uchungaji wake?
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Kwani hao wakuu wao wanaopokea maelekezo ya kijingo kutoka kwa watawala SIYO POLISI?. Zero rational being.Kwani POLISI ni wabaya, ni hao wakuu wao wanaopokea maelekezo ya kijingo toka kwa watawala na kuwapa amri polisi kutekeleza uvunjifu wa sheria na amani. Usituletee maneno ya Mh. Lukuvi wakati mnajua Jeshi la polisi hivisasa linaongozwa na IGP Mwigulu Nchemba.
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
The only thing you dont know, ni ukweli kwamba baadhi ya hao polisi ndiyo wanatupatia siri za ndani kabisa za jeshi la polisi. Wewe unafikiri huwa tunajuaje mipango yenu ya kuihujumu chadema? Kuna polisi ambao ni watiifu kwa CHADEMA na hao ndiyo tunaowahurumia.
Hata wewe polisi unayetumwa kuua hivi huwezi kutumia akili zako kidogo kufikiri??
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Lakini bahati mbaya ilioje, hata kama CCM itatrain jeshi na kuanza kuua watu barabarani, hakuna sheria yoyote inayoweza kuchukuliwa dhidi yake. Lakini chadema wakijikwaa wakaangukia mtu wanafutwa. Hii nchi inandeshwa kwa utashi wa watu na si sheria. Hivi sheria ya vyama vya siasa ndiyo inasema chama tawala hakifutwi hata kikivunja sheria? Nitashangaa kama wanaharakati na wanasheria hawatataka Tendwa ajiuzuru.Mwigulu nchemba aliratibu mauwaji ya tarehe 15.06.2013 ya Soweto - Arusha na mabomu aliyatoa china
Acha kumvunjia heshima IGP Mwema, hakuna mtu asiye jua kuwa Mwema ni jembe, makosa ya kiufundi yanayo endelea kwa sasa ni mapungufu tu ya kiutendaji. Ifike wakati tujifunze ku-appreciate.
Kumuita Kinana jangili nayo point? kushika biblia bungeni huku akishusha matusi kwa watawala nayo point? kwa hili la leo nimempa viji-credit kidogo na ningependa wapinzani wengine wafuate mwenendo huo wa Msigwa!!