Mashabiki wa CHADEMA wala hawana chuki na polisi isipokuwa ni pale wanapo jua kuwa wana haki ya jambo Fulani lakini polosi hawataki haki hiyo itimizwe, kila mtu anajua umuhimu wa polisi lakini polisi wanapoamua kuwa vibaraka wa CCM hapo ndipo fujo huzuka
Naona leo uatafuta Sympathy kwa wanaJF kwakua hakuna Thread unazoletaga hapa zenye mshiko ni utumbo mtupu!
raia wepi mnaowatetea wakati mnawamwagia tindikali, mnawauwa kwa mabomu, mnawatishia bastola na kuwalisha sumu???Muanzisha mada jaribu angalao kutumia hata 0.01% ya ubongo wako kufikiri. Haina maana mtu akimlaum mtu fulani kwa maovu anayoyafanya basi asimtetee huyo mtu hata pale haki zake zinapobinywa. CHADEMA tunachukia matendo mabaya yanayofanywa na polisi kuua raia wasio na kosa, haina maana tusiwatetee hao polisi wanyimwapo haki zao, hiyo hulka ni yenu magamba. Chadema tunapigania haki ya kila mtanzania bila kujali itikadi zake. Hongera sana Msigwa. Peopoooooooooooos power.
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Kumuita Kinana jangili nayo point? kushika biblia bungeni huku akishusha matusi kwa watawala nayo point? kwa hili la leo nimempa viji-credit kidogo na ningependa wapinzani wengine wafuate mwenendo huo wa Msigwa!!
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
???????? ?????? ???? ???????? ??????? ??? ????? ? ?? ???? ??Bila kumsahau Chagonja!
kama Mwangosi sio ndugu yako basi ni Mtanzania mwenzako, unafurahia alichofanyiwa na POLISI?Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Wewe Kilaza Msigwa ni kichwa! ukweli huo kwenye Red nikama huu hapa kwenye picha!Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Mwangosi aliuwawa na mabomu ya chadema, watanzania wa leo ccm amuwezi kuwadanganya,sanasana unawazidishia hasira,kwa nini hamtaki kuelewa hili?raia wepi mnaowatetea wakati mnawamwagia tindikali, mnawauwa kwa mabomu, mnawatishia bastola na kuwalisha sumu???