Hao wabunge wa magamba hawajui kuwa bunge ni muhimu kuliko vikao vyao,waje upesi bungeni na kikao cha bunge kikiisha warudi kwenye hicho kikao,kikao chenyewe unaweza kukuta wanaambiwa wasiishambulie serikali la sivyo watavuliwa uanachama wa magamba.
Wana JF mtusaidie kutupa update za bungeni, na kama kuna tv inayoonesha kipindi cha bunge usiku naomba mnijuze, maana asb nakuwa kazini na usiku hakuna tv inayoonesha kipindi cha bunge kilichokuwa-recorded.