kutokana na maelezo anayotoa Mkulo juu ya posho: ni kwamba safari bado ni ndefu hadi posho zifutwe.
Anasema hawawez kufuta posho, et utaanzaje kuwaambia majenerali wastaafu wa Jeshi kuwa posho zao zimefutwa?, si unataka ugomvi?. Ninavyoona hapa hakuna nia dhabit ya kuondoa sitting allowance.
Mkulo anashindwa kuelewa. tunachotaka ni kufutwa kwa sitting allowance ukiwa eneo la/muda wa kazi.