Bungeni live! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni live!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr wa ukweli, Jul 20, 2011.

 1. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ile kampuni ya BAYPORT inayoibia walimu imetinga tena bungeni ni mbunge wa kasulu anauliza wataacha lini kuwaibia walimu? Waziri anadai mwisho wa makato ni 1/3. Bahat mbaya umeme umekatika wenye nao waendelee kutujuza yanayojiri mjengoni.
   
Loading...