Naona viti vingi vipo wazi...inaniuma sana kutowaona tulikowatuma...!afadhari angekua mmoja..ila duh mpaka haibu..bora tulivunje tu bunge lenyewe..tunawapa bure tu kodi zetu...!
Namuona Mh Pinda...sioni kama anatoa majibu...!
"Vox populi,Vox dei"
Halafu kwenye mambo ya anasa za wabunge huwa hakuna upinzani bungeni,wote wanakuwa chama kimoja.Kwaweli nguvu ya hoja ya ziada inahitajika kunishawishi nirudishe imani na Siasa uchwara ya bongo.
SWALI:Samahani mkuu,hao wabunge 357 nadhani 102 ni viti maalum ambao hawana majimbo so sidhani kama hao wafanyakazi wa4 wanawahusu wao lakini bahati mbaya sikusikiliza bunge leo wamesema hadi viti maalumu(a.k.a wapiga vigeregere) wanapewa wasaidizi wa4?
Ni kweli kabisa.
Hivi ni wapi kunaweza kupatikana idadi ya wabunge wanaohudhuria kikaoa ikawekwa wazi magazetini walau tukaanzia hapo. Ikiwa hivyo watashtuka na kuikwepa hii absence kwa execuuse mbalimbali.
Alichotamka ni kwamba mbunge ni taasisi kama vile mkuu wa wilaya hivyo anahitaji wasaidizi wanne tena akanichosha alivyosema wanaajiriwa kwa matakwa ya mbunge hapo ndio nikachoka kabisa. Kwa kauli hiyo hata viti maalumu ukute akawekewa wasaidizi wake
Wasaidizi wenyewe ni hawa:
- Dereva
- Mpiga chapa
- Karani
- Mhudumu wa ofisi