Wamiliki wa majimbo ni wananchi wenyewe na sio mbunge/wabunge. Kila mtanzania ana haki ya kwenda mahali popote na kuongea na yoyote, Anne Kilango asome katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa makini. Mwaka jana yeye mwenyewe Kilango alikuwa Kiwira akifanya campaign, kama wenyeji wa huko wangekuwa na mtazamo kama wake asingetakiwa awe huko Kiwira. Na huu uwoga unatoka wapi kama umefanya kazi vizuri?