Bungeni: Joseph Musukuma alalamikia TANESCO kuhusu bei ya kuunganishiwa umeme na kukatika kwa umeme

Pamoja na kubezwa elimu yake Joseph Musukuma ni mbunge anajiamini na hutoa ya moyoni na wahusika kama ni kushupaza shingo washupaze lakini ujumbe unawafikia mojakwamoja.

==========

Mheshimiwa mwenyekiti nitazungumza maswala yanayohusu na TANESCO peke yake. Mimi natokea vijijini ukifika vijijini sasa hivi tuna taharuki kubwa sana ya maswala ya bei yaliyotolewa na TANESCO. Sisi kama Kamati mwaka jana tulikaa tukakubaliana kwamba tuchukue hata vijiji vya mjini tuviweke kwenye bei moja sawa na vijiji vya vijijini ili wananchi wengi waweze kuingia kwenye mfumo wa bei ya shilingi 27,000.

Lakini ghafla mabadiriko yametokea na kuwatenga watu wa mjini na watu wa vijijini sasa najiuliza mimi muda mwingi niko Dodoma na kijijini kwangu nawaona hata humu wagogo masikini wako humuhumu ndani kwenye kata za mjini, lakini kuna watu vijijini wana mpka ghorofa tatu wanaishi na familia zao. Sasa hiyo hesabu iliyopigwa naona kama kuna upendeleo fulani. Naishauri serikali ile bei ya 27,000 iendelee mpaka kwenye kata za mjini ambazo ni na zenyewe zina watu masikini kama wale ambao wako kule vijijini.

Lakini la pili ni swala la kukatika kwa umeme hili swala linaleta taaluki kubwa sana ukatikaji wa umeme na kamamti imeona hakuna sababu za msingi ukisikiliza ni kama ubabaishaji fulani, tukumbuke wakati umeme umeanza kukatika Waziri Makamba aliruka mpaka na Helkopta akiionesha Tanzania kimataifa kuwa tuna upungufu wa maji mito imekauka lakini Chifu Hangaya akaomba mvua zikanyesha tukarudi tena kwenye mashine na hii mitambo inaendeshwa kwa masaa ndio maana kamati tumeomba TANESCO watuoneshe miaka mitano Service ilikuwa inafanyikaje ndani ya miaka mitambo kwa mitambo hii ya kisasa isipofanyiwa umeme itapiga kelele hakuna mtu atakaa humu ndani.

Ndio maana kamati tumeshauri kwamba ifanyike Service kimkoa mkoa kiupande upande na sio nchi nzima inakaa kwenye giza. Hizi sababu za TANESCO ni ubabaishaji tuombe TANESCO waje na sababu za msingi kwa nini umeme unakatika na tukose umeme sehemu nyingi za biashara. Sioni sababau ya hizi swaga zinazoendelee.
Wanaomuona Msukuma ana akili .... wao pia hawana akili...!!
 
Mh Msukuma ameuliza swali zuri sana, TANESCO iwasilishe ripoti za matengenezo miaka mitano iliyopita 2015 hadi 2020 kwenye kamati ya bunge. Mitambo isingeweza kuwa hai kama ingalifanya kazi bila service kwa miaka mitano hiyo. Sasa kama ilifanyika service, ilifanyikaje? na waliofanya si ni haohao?. Iweje service ya leo iwe na impact kubwa kiasi hiki?. Kimsingi Mh January hajajibu maswali ya Mh Msukuma, RHPP sio bure, Makamba punguza chenga weka mpira miguuni umjibu Mh.
😂
 
Back
Top Bottom