Bungeni: Hati za muungano mvurugano

Bungeni: Hati za muungano mvurugano

wameshanichosha sana na hizi sarakasi ....bora nilewe viroba tu kuliko kusikiliza huu ujinga na mazingaombwe ya hili bunge la katiba
 
Hawa magamba wanakera sana kwa hulka yao ya kupenda kuchakachua kila kitu!
 
kwani zanzibar wanaing'ang'ania ya nini, watafute chao na c kuivuruga zanzibar ya watu
 
Back
Top Bottom