Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

Mimi namshangaa sana huyu Mbunge wa Arusha mjini ana mambo ya kitoto sana, eti jana alikuwa ataka milango ya bunge ifungwe ili wapigane, shame on you tumewatuma huko mkapigane? please guys stop this stupidity.

The Following 7 Users Groaned at You NOT ENOUGH For This Awful Post:
Sigma(Today), tindikalikali (today), BLUE BALAA(today), popiexo (today), marhaba (today), Wa Tsavo (today)
 
Lakini mbona naona hakuna ukweli kwenye hoja ya mto mada.......nimeona majina mengine tena mtu mwingine kasema yeye ni mbunge na alikuwa bungeni. So who said, precisely, that?
 
Ukweli Utabaki kuwa kauli zilizotumiwa na waheshimiwa hazi reflect dhamana tuliyowapa wala sifa za kuwa viongozi. Tafakari.
 

Utashangaa viroja badala ya hoja ?.
 
Mazoeya ya unafiki kumwambia mfalme aliye uchi kuwa anapendeza. CCM wenye heshima zao wanashabikia upuuzi wa wenzao ambao ni wapuuzi kidogo. Kwa nini mlango usifungwe watu wadundane? Spika anayumbishwa na anayumba kuvunja taratibu za bunge asiambiwe ni mpuuzi hilo haliwezekani.

Na wewe ni mpuuzi suala la kufunga mlango limesemwa na lema iweje wewe useme ni chadema?
 
Wakati mwingine diplomacy haisaidii sana kurekebisha mambo hata wamarekani na maendeleo yao yoote huwa sometimes wanaamua mambo kwa vita............
Sawa tu ikibidi poa tu wazichape.....wabunge wa CCM ni mbimbu sana wa mambo yaani wao wanadhani bunge lile ni lao tu....
 
Wabunge kama LEMA tunawahitaji sana bungeni humo wawe kama 20 hivi.
Nchi haina adabu wabunge wengine hawajali maslahi ya wananchi kazi kushabikia upuuzi tu.

HONGERA SANA LEMA .....NEXT TIME UKAFUNGE MLANGO MWENYEWE.
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Chunga kauli zako nadhani wewe ndiye hamnazo
 
Ukweli Utabaki kuwa kauli zilizotumiwa na waheshimiwa hazi reflect dhamana tuliyowapa wala sifa za kuwa viongozi. Tafakari.

Heshima kwako Mariosite.

Hapa tunaangalia kwanza nani kafanya kosa halafu tunatazama kosa lenyewe baada ya hapo unatoa conclusion kwa kuangalia kama anatoka chama chako.Ulikuwa hujui kosa kama hili limewahi kufanywa na mbunge wa Mtera mheshimiwa Lusinde alshambuliwa kila kona kushoto kulia hoja zilijengwa kwamba hana shule na nk.Angalia leo watu wazima na akili zao wanatetea upuuzi.
 
Wabunge wa CCM
Huyu akiamka, kashalimwa Teke la Kichwa......

Hawa watapata ugonjwa wa Moyo.

Wabunge wa Chadema:
Hapa anasema "I don't give F****"....." Njoo ule kibano.

Huyu yeye kupigana ndiyo kwanza umemrudisha nyumbani.

Hapo hujamuweka Lema, Mbowe, Wenje, na Ngosha wengine....... Hatimaye Sugu angelimalizia KIPORO chake kwa Makamba.....






 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Hamna rangi mtaacha ona mwaka huu! May be anaona wabunge walikuwa na mambo ya kitoto sana kama wa (Primary) kichapo ndio kitakacho wafanya wawe na tabia njema! Aksante.

VIVAAAAA.................
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Kama Spika yupo tayari kuzima wazo lolote toka upinzani ,hasa toka Chadema , na kusapoti kila jambo toka CCM, kumbe nini kilichobakia basi
 
Dawa ya mbwa (ccm)mdokozi ni kumfunga na kumcharaza bakora mpaka alale.Shughuli ya kuwachapa wavua gamba ni muhimu sana.Hawana la kutuambia wezi wakubwa,wamebaki kulindana na kutaka kupitisha mambo juu juu mjengoni,ovyo kabisa ccm!!
 
Sioni la ajabu Lema anafanana kabisa na chama chake, hii itakuwa rahisi sana kuwaeleza watu kwa mifano hai, DVD inayokuja itakuwa ni yake na matukio yake na haitauzwa bali itagawiwa bure kwa masela wenzake.
Itakuwa rahisi kuwaeleza watu gani? Machizi ambao hawajui mbunge wa mtera alisema nini mwezi February au? Vipi dvd ya mbunge wa mtera imegoma kutengenezeka au? Endeleeni kuingia choo cha kike mbele ya macho ya wananchi, itaendelea kula kwenu hadi mshangae.
 
Ccm ni waoga na wengi wao wameingia bungeni kwa kubebwa ila Wabunge wa Cdm ni sawa na tingatinga wanachimba kuweka sawa palipo haribika.kama kweli alisema nampongeza .LEMA NI JEMBE ccm ni mashamba mtalimwa sana mwaka huu.
 
vita mbele...nahakika hawa wanajibidisha kupinga watakubali2 aftr yakuonja maumivu...
 
Ndugu, kwa kipimo chako hiki hiki bila unafiki, mbunge wa mtera-ccm alichaguliwa na wananchi kwenda bungeni kutishia(siyo kuomba) na kutaka kupigana?
 
Ngumi na zianze tuu...anayeheshimiwa ni yule tu anayejiheshimu......heshima hailazimishwi....hebu oneni jinsi gani membe alivyiochukua heshima jana kujidistinguish na mazoba mengine ya ccm kwa kusimamia ukweli............
 
Ndugu jesuit don't be naive, pale msheshimiwa godbless aliposema funga mlango tupigana that was simply a political rhetoric, and hence hakuwa na maana hiyo uliyoitafsiri wewe.pole sana kwa kutoelewa rhetorics za kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…