Lusinde Livingstone, Mbunge wa CCM Mtera aliposema milango ifungwe haikuwa hoja. Akisema Lema ni CDM!
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
ulijuaje kama ni lema.? mm ni mbunge. aliyetamka hayo ni lukuvi na aliyesema anywe kikombe ni january. unabisha.
Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly. Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko! Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!
safi kabisa lema labda discipline itarudi.
watayala lini wakati wakiondoka hawatarudi tena hiyo 2015!!!! mi nawasubili tena kuwapumguza kwenye box letu lieee la kutumbukizaaWe unaomuona Lema anazungumza hivyo kwa uchungu wa nchi huwaona wale mashoga na "chakla ya wakubwa" waliojazwa mule kiushabiki tu hata kwa mambo yasiyo na faida kwa taifa?
Pole kama we umeogopa, nilipokuwepo mimi ni eneo lililokuwa na watu wengi na wengi wao walisema kama ningekuwa Lema nisingesema kufunga mlango, ningeenda na kufunga mwenyewe na kutwanga mtu
Visichana vyenu na ile mijinga ya kiume mliyoijaza kule ndani kushabikia badala ya kusimamia maslahi ya taifa ndiyo inayoleta adha zote na wewe umeamua kuangalia tokeo la tatizo na sio mzizi wa tatizo....na makonde mtayala sana mpaka mchange akili
Shida yako Jesuit hufuatilli bunge na kuunganisha mambo. Waliotoa hoja ya kufunga mlango na kutwangana makonde ni CCM katika kikao cha Februari walipokuwa wakisema CDM wanachochea umwagikaji wa damu. CCM wakito kauli yao hiyo walikuwa wakijivunia wingi wa idadi yao maana kwa nguvu ya hoja wameshindwa sasa wakataka kutumia hoja ya nguvu. Hivyo alichokisema Lema ni kuwaambia kuwa vile mlisema mtafunga mlango tutwangane basi sasa labda ndio wakati mkatimiza adhima yenu.
Sasa hapo nani hamnazo?
Mimi namshangaa sana huyu Mbunge wa Arusha mjini ana mambo ya kitoto sana, eti jana alikuwa ataka milango ya bunge ifungwe ili wapigane, shame on you tumewatuma huko mkapigane? please guys stop this stupidity.
Mimi namshangaa sana huyu Mbunge wa Arusha mjini ana mambo ya kitoto sana, eti jana alikuwa ataka milango ya bunge ifungwe ili wapigane, shame on you tumewatuma huko mkapigane? please guys stop this stupidity.
Kuna mwanafalsafa mmoja alisema, "Unjust law, is not law at all"
Sheria na kanuni kama za bunge letu zinazotaka kuwakandamiza wapinzani tuu, sio sheria wala kanuni, hata kidogo!
Watu wanafungwa na mambo ambayo hayawasaidii wananchi!
Kanuni zinawekwa kuwabana wawakilishi wa wananchi!
Wabunge wanafuata mkumbo bila kuangalia maslahi ya wananchi!
Spika asiyejali maslahi ya wananchi, sio mwakilishi wa wananchi hata kidogo!