Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Mkuu uko shallow sanaJana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
we need the groan option back!!
jana mh. Godbless lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli chadema ni hamnazo!
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Nilisikiliza kwa makini wakati wa live na kwenye taarifa ya habari ya Channel ten na ITV. Aliyesema hayo maneno siyo Godbless Lema na wala hayakusemwa na mbunge wa upinzani. Hata kama alisema hivyo, kilichokuwa kinashindaniwa siyo hoja tena bali ushabiki na ukikumbuka ushabiki wa shule za msingi huishia kupigana. Ndiyo maana Spika aliwaambia wabunge wote wanakuwa kama watoto wadogo.