huyu jamaa anapenda umaarufu saana nimemuona bungeni anataka awe sub ya zitto awe makini atajipotezea umaarufu kwa cc watu makini
Na wewe unajiita mtu makini? jitazame upya.Hata wewe unatafuta umaarufu kujiita mtu makini wakati mburula tu.
huyu jamaa anapenda umaarufu saana nimemuona bungeni anataka awe sub ya zitto awe makini atajipotezea umaarufu kwa cc watu makini
Hiyo ndo athari ya akili ndogo kuongoza akili kubwa... we mtu ana masters ya sheria lakini anaongozwa na mtu wa form iv (vi zero) kwanini asiwe muanga kwa kuambukizwa na mwenyekiti wake?
Lisu hajitambui kabisaa siku hizi,
Lisu siku zote mkurupukaji tu.
Ukiwa upande wa ccm lazima uone hoja zote ni za kipuuz hata ni kwa manufaa ya watz, think twice!
Lisu hajitambui kabisaa siku hizi,
Kiburi kimetamalaki, Wakiristu hawana hofu ya mungu, sijui kwakuwa. yuko kwenye picha ! ?