Bunge: Tundu Lissu is misleading

Bunge: Tundu Lissu is misleading

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
4,694
Reaction score
793
Tundu sheria mpya haizuii vyombo vingine kumshauri Rais please.

Ila inasema waziri yeye kwa upande wake ajiridhishe before advising president.

Ni aibu mnakaa Bungeni hamskilizani who say what?

unfortunately Zitto naye aliingizwa kwenye mtego...

Simply Rais hafungiki kuchukua ushauri kutoka chombo kimoja.
 
Ila inasema waziri yeye kwa upande wake ajiridhishe before advising present.

Wee ni kichaa!! Mnadhani mnamkomoa lissu kumbe mnatukomoa sisi watanzania!
Pia ukumbuke si sheria bado, ni mswada wa sheria!!
 
Lisu ndio gia ya mwisho kama kuna mtu anatoa povu akamuuloze zuma
 
Wee ni kichaa!! Mnadhani mnamkomoa lissu kumbe mnatukomoa sisi watanzania!
Njoo na hoja wapi sheria mpya inamzuia Rais asipokee ushauri kutoka vyombo vingine... Nipe hiyo tu...
 
Hiyo ndo athari ya akili ndogo kuongoza akili kubwa... we mtu ana masters ya sheria lakini anaongozwa na mtu wa form iv (vi zero) kwanini asiwe muanga kwa kuambukizwa na mwenyekiti wake?
 
Tundu sheria mpya haizuii vyombo vingine kumshauri Rais please.

Ila inasema waziri yeye kwa upande wake ajiridhishe before advising present.

Ni aibu mnakaa Bungeni hamskilizani who say what?

Ni aibu zaidi kwa namna ulivyokurupuka na kuiwasilisha hii habari.
 
huyu jamaa anapenda umaarufu saana nimemuona bungeni anataka awe sub ya zitto awe makini atajipotezea umaarufu kwa cc watu makini
 
Tundu sheria mpya haizuii vyombo vingine kumshauri Rais please.

Ila inasema waziri yeye kwa upande wake ajiridhishe before advising president.

Ni aibu mnakaa Bungeni hamskilizani who say what?

unfortunately Zitto naye aliingizwa kwenye mtego...

Simply Rais hafungiki kuchukua ushauri kutoka chombo kimoja.

Look you young dude! Kinachotengenezwa pale bungeni ni sheria sio utaratibu! You can see the difference? Thus why mostly katiba/sheria mama imekuwa source kubwa ya reference pale!

Katiba inasema watu waandamane but polisi wajulishwe 48hrs before......but wanapindua hii! Ever tried to think how/why?

Tulia dogo.....!!!!
 
huyu jamaa anapenda umaarufu saana nimemuona bungeni anataka awe sub ya zitto awe makini atajipotezea umaarufu kwa cc watu makini

Umaarufu gani? Wewe ulitaka naye akubali kuburuzwa kama walivyo wabunge wa CCM? Ulimwona AG alivyokuwa anajiuma uma na Mhagama mpaka anamwita mara kaka yangu,ndugu yangu ilibaki kidogo amwite shemeji.
Wabunge wamemwelewa na ni mpambanaji kwelikweli mpaka alimwambia Mkosamali anapotetea kitu asiwe mwepesi wa kukata tamaa. Hoja za serikali zinapita tuu kwa vile wabunge wa ccm wameshajiona wao ni sehemu ya serikali au woga unawasumbua.
 
Ana mihemko ya ki.g nga sana huyu, after all he is next baada kukataliwa na system
 
Tundu sheria mpya haizuii vyombo vingine kumshauri Rais please.

Ila inasema waziri yeye kwa upande wake ajiridhishe before advising president.

Ni aibu mnakaa Bungeni hamskilizani who say what?

unfortunately Zitto naye aliingizwa kwenye mtego...

Simply Rais hafungiki kuchukua ushauri kutoka chombo kimoja.

Hapa ulikuwa unaelezea nini boss kwa sababu nimeshindwa kukuelewa
 
Back
Top Bottom