Bunge sio Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu…Bunge ni Chombo Kikubwa Zaidi ya Pinda… | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge sio Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu…Bunge ni Chombo Kikubwa Zaidi ya Pinda…

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 26, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wananchi na Chadema na Wote Wapenda Taifa letu. Wananchi tunataka Vita vya Rushwa Vianzie Hapa, Dowans… Swala lipo Mahakamani na Sio mwisho? Tukumbuke Mahakama Imeteuliwa na JK. Tunaweza kujadili Bungeni na lazima tufanye hivyo. Maswali mengi ya kuuliza Nani Alisababisha Yote Haya? For your Information Kikwete na Pinda, Yafuatayo Sio Maswala ya Sheria ni Maswala ya Bunge:
  i. Aliesaini huu mkataba ni Nani? Wote walio husika na kusaini hii mikataba wa Tanesco na Dowans ni Wakina Nani?
  ii. Ripoti ya Bunge kuhusu Richmond Wananchi Tunataka Itolewe na Maamuzi Yote, Makosa Yapi Yalifanyika na Hatua Gani Ilichukuliwa? Details Please…
  iii. Kwanini Lowasa Alijiuzuru?
  iv. Alieamua Kwenda ICC ni Nani? Kwanini Serikali Haikwenda Mahakamani kujadili the validity of the Contract Between Tanesco na Dowans/Richmond? Mwanasheria wa Serikali? Mwanasheria wa Tanesco? na Kwanini kwenye kosa kama hili? Wahusika wote wasijulikane… (tunataka thread nzima kuanzia mkataba na bid process na hasa contacts zote za wahusika...)
  v. Msajadili wa Leseni za Makampuni Yanayofanya Biashara na Serikali ya Tanzania Lazima aonyeshe Trail Zote kwa Wananchi Kuhusu Dowans na Makampuni Yote Yanayofanya Kazi na Serikali Yetu….Wahusika wa Makampuni Lazima Wawe Public? Kwanini Imechukua Miaka Kuonyesha Nani Mmiliki wa Dowans Wakati Richmond Ilisha julikana ni Fake?


  Kila Nchi duniani wanatunza records na kufuatilia uvunjaji wa sheria kwanini Tanzania there is no such thing? Wanamprotect Nani? CCM sio chama cha wananchi...
  U.S. Senate: Legislation & Records Home > Lobbying Disclosure > Office of Public Records Information
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  In other news, Nairobi Thika road is taking shape...sie tunapiga domo tuuu

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 3. n

  niweze JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia hizo contract za ujenzi wa barabara Tanzania utacheka...Kenya Wanatushinda nini? Kenya wana migodi (jibu No), Kenya wana wanyama na mbuga kubwa kuliko zetu (jibu No), Kenyans diversify their economy in so many areas and now they are expanding in Tanzania (jibu Yes). Tanzania uchumi umejengwa vipi (hakuna jibu)
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hatuwezi kujenga uchumi kwa kupiga domo!

  kenya hawana muda huo
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ninaomba kutofautiana na wewe mkuu Slidingroof, hatuwezi kuendelea bila kumkabili mdudu anayetoboa kihenge chetu! Bila kuwakabili wanaohujum uchumi wetu tutapata wapi pesa za kujenga hayo unayoyasema kenya wanafanya? Bila kuwakabili wanaotuingiza kwenye mikataba tata tutawezaje kupata "value for money" kwenye mikata ambayo serikali inaingia?
  Lazima tupige domo mpaka pale patakapokuwa na uwajibikaji wa serikali unaoridhisha.
  Rostam ni miongoni mwa watu ambaye yuko kwenye kila mkataba wenye utata na bado anaendelea kubebwa na CCM, tena kwenye kamati kuu ya chama! Kwani hakuna wanachama wengine ambao wanaweza kuijaza nafasi hiyo? Kwa nini wahusika wa mikataba mibovu hawawajibishwi ipasavyo?
  Kenya wanaweza kuyafanya wanayofanya sasa baada ya kuanza kuwakabili watendaji walafi kwa uaminifu unaostahili.
   
 6. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kenya hawafai..lkn wamefika hapa baada ya kushikishana adabu kwanza...tanganyika bado tunatongozana.
   
Loading...