Bunge shupavu la Tanzania: Pendekezo la wabunge 2010-2015 list down

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Ndugu wanaJF natanguliza samahani nitakaowakwaza, Mwaka huu ningependa kupendekeza bunge letu lije na watu wafuatao,

Unaweza kuendeleza List (hata kwa wali ambao sio wabunge kwa sasa but wametangaza kugombea)

1.Dr W. Slaa
2.Dr Pombe
3.Dr Mwakyembe
4.Anna kilango
5.Olesendeka
6.Zitto kabwe
7.John Myika
8.Tundu Lissu
10.F. mbowe
11.Renatus Mkinga
13.Wilfred Lwakatare
14.George Simbachawene
15.Wabunge wote wa CUF Zanzibar
16.Anna Tibaijuka
17.Selelii
18.Lembeli
19.Said.Nkuba-Sikonge,Tabora
20.Mch.Amani Masangwa,Monduli kwa Lowasa
21.Samuel Sitta
22.Godfrey Zambi
23.Fred Mpendazoe(kama CCJ ikipata usajili)******
24.Pinda
25.Arfi,Chadema Mpanda
26.Beatrice Shellukindo
27.William Shellukindo
28.Ndesamburo
29.Ananilea Nkya
31.Sima Rwakilomba - Karagwe
32.Mch. Msigwa - Iringa Mjini
33Amosi Makalla-jimbo la mvomero
34Halima Mdee
35.victor kimesera
36.MAGESA Finiasi (BUSANDA)
37.DAVID kafulila
38.KINABO (ROMBO)
39.Mzee Mwanakijiji

WAKUU WANAJF TUNAOMBA UKIWEKA JINA LA MBUNGE WA SASA /MTALAJIWA HUSIWEKE JINA KWA HITIKA YA CHAMA AU UNDUGU AU USHABIKI-SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA
 
12.Prof.Mwandosya
13.Wilfred Lwakatare
14.George Simbachawene
15.Wabunge wote wa CUF Zanzibar
Haya endelezeni list waungwana!
 
Ndugu wanaJF natanguliza samahani nitakaowakwaza, Mwaka huu ningependa kupendekeza bunge letu lije na watu wafuatao,

Unaweza kuendeleza List (hata kwa wali ambao sio wabunge kwa sasa but wametangaza kugombea)

1.Dr W. Slaa
2.Dr Pombe
3.Dr Mwakyembe
4.Anna kilango
5.Olesendeka
6.Zitto kabwe
7.John Myika
8.Tundi Risu
10.F. mbowe
11.Renatus Mkinga
12.Prof.Mwandosya
13.Wilfred Lwakatare
14.George Simbachawene
15.Wabunge wote wa CUF Zanzibar
16........
17.......
18......

Hey Heyyyyy.... angalia sana. Hilo jina la mbunge wangu mtarajiwa umelikosea saaana! Kwa usahihi ni Tundu Lissu
 
Mama Ananilea Nkya pia akiwemo,,hoja za hovyo hovyo zitapata shida
 
17.Selelii
18.Lembeli
19.Said.Nkuba-Sikonge,Tabora
20.Mch.Amani Masangwa,Monduli kwa Lowasa
21.Samuel Sitta
22.Godfrey Zambi
23.Fred Mpendazoe(kama CCJ ikipata usajili)
24.Pinda
25.Arfi,Chadema Mpanda
26.Beatrice Shellukindo
27.William Shellukindo
28.Ndesamburo
 
NImeona Mwandosya kwenye list ya mdau King of Kings, sioni kama anaweza fanya lolote, amekuwa kwenye system hii mbovu miaka nenda rudi kama waziri, apumzike awapishe wengine sasa.
 
NImeona Mwandosya kwenye list ya mdau King of Kings, sioni kama anaweza fanya lolote, amekuwa kwenye system hii mbovu miaka nenda rudi kama waziri, apumzike awapishe wengine sasa.
Ni kweli maana hawa ndio tunasukumaga magari yao wakaati wa kampeni tukiwatumaini jipya lakini wanaishia kututukana kuwa hata tukiwanyima kura zetu hawaziitaji. Waishie mbali. Mnakumbuka na sakata la kuuzwa ttcl?
 
Nimeisharekebisha List iendelee mkuu
 
Ndugu wanaJF natanguliza samahani nitakaowakwaza, Mwaka huu ningependa kupendekeza bunge letu lije na watu wafuatao,

Unaweza kuendeleza List (hata kwa wali ambao sio wabunge kwa sasa but wametangaza kugombea)

1.Dr W. Slaa
2.Dr Pombe
3.Dr Mwakyembe
4.Anna kilango
5.Olesendeka
6.Zitto kabwe
7.John Myika
8.Tundu Lissu
10.F. mbowe
11.Renatus Mkinga
13.Wilfred Lwakatare
14.George Simbachawene
15.Wabunge wote wa CUF Zanzibar
16.Anna Tibaijuka
17.Selelii
18.Lembeli
19.Said.Nkuba-Sikonge,Tabora
20.Mch.Amani Masangwa,Monduli kwa Lowasa
21.Samuel Sitta
22.Godfrey Zambi
23.Fred Mpendazoe(kama CCJ ikipata usajili)
24.Pinda
25.Arfi,Chadema Mpanda
26.Beatrice Shellukindo
27.William Shellukindo
28.Ndesamburo
29.Ananilea Nkya
31........
32.......
Kaka asante sana list imetulia sasa mimi naja kinyume nyume lakini swali limejibika.
Wale nisiowataka kuendelea na ubunge hata wakigombea.
1. JK
2. Makongoro
3. Kapuya
4. Maua
5. ......
 
Mpendazoe mpeni popote atakapokurupukia hata kama itakuwa too late. Maana alionesha ujasiri wa hali ya juu sana.
 
List ya ninaopenda wawe wabunge

Sima Rwakilomba - Karagwe (Sijui nimepatia kuliandika jina lake)
Mch. Msigwa - Iringa Mjini
Mama Kilango - (kwa kujikubali kuwa anaburuzwa)

Nisiotaka warudi kamwe

Rita Mlaki
Karamagi
Wassira
Dr. Msabaha
Wote waliohusishwa na kashfa ama hata kwa kutajwa tu!
Monica Mbega
 
aSANTE MKUU red: labda tuanzishe list nyingine :A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom