Tuwe wakweli, hao maskini unaowasema ndio wale wanaofuata drama za bungeni si lolote la maana. Katika awamu hii maskini wanatakiwa wafanye kazi kwa bidii ili wajikwamue kutoka kwenye umaskini wao.Hata walio masikini hujikusanya mahali wakaona.
Nimekupata vzr. Nimewajibu wenye mawazo kama yako wawaambie Azam TV et al wapeleke fedha zikanunue vitanda vya akina mama wajawazito wanaolala chini hospitalini!Thread ya kipumbavu sana hii.
Mtu unaandika mgazeti huku kichwani mtupu!
Unajua kama Star TV na Azam walitaka kuonesha bunge hilo live?
Na una habari kama zipo taasisi na wadau waliojitolea kuchangia bunge kuoneshwa live kupitia TBC baada ya serikali kulalamika haina pesa ya uendeshaji?
Jinga kabisa.
No wonder unajiita YANGE YANGE
Watanzania watu wa ajabu sana! Humu JF zinapigwa kelele nyingi kuhusu uamuzi wa Serikali kusitisha kuonyesha Bunge live. Watu wanadai wananyinwa haki yao ya kupata habari toka Bungeni. Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamikia kupata yanayojiri Bungeni ndio hao wanatuletea habarI 'motomoto' za Bungeni.
Kwa maana nyingine Serikali iko sahihi si lazima Bunge lionyeshwe live ili watu wapate habari muhimu! Wapo wanaoshupaa kabisa na kudai kwamba Watanzania wengi wanataka kuona Bunge live kwahiyo 'wengi wape'.
Ni wengi wapi hao? Tanzania imejaa maskini ambao hats mlo mmoja kwa siku kuupata niv shida. Hivi ni kweli wengi hawa, maskini wa Tanzania wanataka Serikali yao ionyeshe tv live badala kuwakwamua kwenye umaskini wao?
Ifike mahali 'sisi' Watanzania wachache wenye uwezo tuwafikirie na Watanzania wenzetu walio wengi ambao wanaihitaji sana hiyo fedha ambayo Serikali inadhamiria kuokoa kutoka matangazo live. Na wao wana haki pia!
Pengine Serikali ya HAPA KAZI TU ingetutangazia kwamba hakuna kuonyesha Bunge live ili waangaliaji wote wachape KAZI maana ni muda wa kazi kwa Watanzania wote Wakulima na Wafanyakazi!
Safi sana mkuu umempa vipande vyake.Mkuu akili zako za samaki ubongo jiwe sijuwi mijitu mengine imekuja kufanyanini huku duniani akili za kupewa kapelo na pilau tu
Hatavmwanafunzi asiye na dawati na mama mjamzito anayelala chini hospitali naye ni HAKI YAKE kupata huduma kutoka kwenye hiyo Kodi unayozungumzia. Kupanga ni kuchagua!Haki ya Mtanzania apate anachotaka ali mradi kiwe halali... kutizama live Bunge ni Haki yake.. sababu ni Kodi yake.... Kiongozi Mjinga hunyima watu wake Haki za Msingi... Bunge live ni muhimu lainamuonesha Mbunge wako kama anawatetea au lah... kipindi kingine cha uchaguzi awajibishwe.... Nape ni Mkosaji wa Watanzania anapeleka Siasa kwenye Haki za Wananchi sababu Hakuchaguliwa nao? sometimes huwa najiuliza Wabunge wengine walishindaje na hawana upendo na wananchi... Takukuru walimhoji huyu...
Mara nyingi akili ya yange yange hupeperushwa na upepo,naona kama ID yako na akili yako vinashabihiana na huyo ndegeWatanzania watu wa ajabu sana! Humu JF zinapigwa kelele nyingi kuhusu uamuzi wa Serikali kusitisha kuonyesha Bunge live. Watu wanadai wananyinwa haki yao ya kupata habari toka Bungeni. Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamikia kupata yanayojiri Bungeni ndio hao wanatuletea habarI 'motomoto' za Bungeni.
Kwa maana nyingine Serikali iko sahihi si lazima Bunge lionyeshwe live ili watu wapate habari muhimu! Wapo wanaoshupaa kabisa na kudai kwamba Watanzania wengi wanataka kuona Bunge live kwahiyo 'wengi wape'.
Ni wengi wapi hao? Tanzania imejaa maskini ambao hats mlo mmoja kwa siku kuupata niv shida. Hivi ni kweli wengi hawa, maskini wa Tanzania wanataka Serikali yao ionyeshe tv live badala kuwakwamua kwenye umaskini wao?
Ifike mahali 'sisi' Watanzania wachache wenye uwezo tuwafikirie na Watanzania wenzetu walio wengi ambao wanaihitaji sana hiyo fedha ambayo Serikali inadhamiria kuokoa kutoka matangazo live. Na wao wana haki pia!
Pengine Serikali ya HAPA KAZI TU ingetutangazia kwamba hakuna kuonyesha Bunge live ili waangaliaji wote wachape KAZI maana ni muda wa kazi kwa Watanzania wote Wakulima na Wafanyakazi!
Kama yapo matrilioni ya kuokolewa itakuwa kheri maana kila mwanafunzi ataketi kwenye dawati, wagonjwa wote mahospitalini watapata dawa na kulala pazuri kama walikokuwa wakilala mahospitalini India, Afrika Kusini walikokuwa wakienda kutibiwa mafua hao Wabunge wenu mnaotaka sana kuwaona wanachofanya bungeni!kumbe kule azam tv na star tv serikali ndo ilikuwa inalipia! basi hapa lazima wananchi masikini tanzania watakula milo kumi kwa siku maana ni matirioni ya pesa yatakuwa yameokolewa!
....Watanzania watu wa ajabu sana! Humu JF zinapigwa kelele nyingi kuhusu uamuzi wa Serikali kusitisha kuonyesha Bunge live. Watu wanadai wananyinwa haki yao ya kupata habari toka Bungeni. Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamikia kupata yanayojiri Bungeni ndio hao wanatuletea habarI 'motomoto' za Bungeni.
Kwa maana nyingine Serikali iko sahihi si lazima Bunge lionyeshwe live ili watu wapate habari muhimu! Wapo wanaoshupaa kabisa na kudai kwamba Watanzania wengi wanataka kuona Bunge live kwahiyo 'wengi wape'.
Ni wengi wapi hao? Tanzania imejaa maskini ambao hats mlo mmoja kwa siku kuupata niv shida. Hivi ni kweli wengi hawa, maskini wa Tanzania wanataka Serikali yao ionyeshe tv live badala kuwakwamua kwenye umaskini wao?
Ifike mahali 'sisi' Watanzania wachache wenye uwezo tuwafikirie na Watanzania wenzetu walio wengi ambao wanaihitaji sana hiyo fedha ambayo Serikali inadhamiria kuokoa kutoka matangazo live. Na wao wana haki pia!
Pengine Serikali ya HAPA KAZI TU ingetutangazia kwamba hakuna kuonyesha Bunge live ili waangaliaji wote wachape KAZI maana ni muda wa kazi kwa Watanzania wote Wakulima na Wafanyakazi!
Mko wengi kiasi gani? Wengi wape!Hata kuangalia bunge ni moja ya Kazi hasa kwa wale tunaofanya Kazi mida za Usiku na kupumzika mchana kama Wavuvi
Wawajibike na watatue. Ndiyo kazi yao kwani lazima tuwaone live bungeni. Twataka tuwaone live wakitatua matatizo majimboni.Inaelekea mleta mada hajui nini umuhimu wa Bunge lenye uwajibikaji katika kutatua hizo changamoto za hao wananchi wa kawaida
kwa maoni yako bora ungesema kusiwe na TV yeyote kuonyesha vipindi wakati wa kazi maana kama ni suaka la kuangalia hata vipindi vingine watu watataka kuangaliaWatanzania watu wa ajabu sana! Humu JF zinapigwa kelele nyingi kuhusu uamuzi wa Serikali kusitisha kuonyesha Bunge live. Watu wanadai wananyinwa haki yao ya kupata habari toka Bungeni. Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamikia kupata yanayojiri Bungeni ndio hao wanatuletea habarI 'motomoto' za Bungeni.
Kwa maana nyingine Serikali iko sahihi si lazima Bunge lionyeshwe live ili watu wapate habari muhimu! Wapo wanaoshupaa kabisa na kudai kwamba Watanzania wengi wanataka kuona Bunge live kwahiyo 'wengi wape'.
Ni wengi wapi hao? Tanzania imejaa maskini ambao hats mlo mmoja kwa siku kuupata niv shida. Hivi ni kweli wengi hawa, maskini wa Tanzania wanataka Serikali yao ionyeshe tv live badala kuwakwamua kwenye umaskini wao?
Ifike mahali 'sisi' Watanzania wachache wenye uwezo tuwafikirie na Watanzania wenzetu walio wengi ambao wanaihitaji sana hiyo fedha ambayo Serikali inadhamiria kuokoa kutoka matangazo live. Na wao wana haki pia!
Pengine Serikali ya HAPA KAZI TU ingetutangazia kwamba hakuna kuonyesha Bunge live ili waangaliaji wote wachape KAZI maana ni muda wa kazi kwa Watanzania wote Wakulima na Wafanyakazi!
Afadhali mara mia ungeacha kuandika upuuzi huu. Kwani hiyo pesa inayookolea wanagawiwa hao maskini au wanagawana hao hao wanaoziokoa. Uliza chenji ya rada na ile EPA ilipo usikie majibu.Watanzania watu wa ajabu sana! Humu JF zinapigwa kelele nyingi kuhusu uamuzi wa Serikali kusitisha kuonyesha Bunge live. Watu wanadai wananyinwa haki yao ya kupata habari toka Bungeni. Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamikia kupata yanayojiri Bungeni ndio hao wanatuletea habarI 'motomoto' za Bungeni.