Bunge litaendelea jioni au mpaka kesho?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Waungwana,

Bunge linaendelea leo jioni au mpaka kesho asubuhi?

Mwenye taarifa tafadhali!
 
Waungwana,

Bunge linaendelea leo jioni au mpaka kesho asubuhi?

Mwenye taarifa tafadhali!

Kwa bunge la 11 ni marufuku kurushwa live hasa ile mijadala ndani ya bunge. Kitarushwa kipindi cha maswali na majibu tuuuuu.
 
Back
Top Bottom