beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,881
- 6,377
Si maneno yangu, wananchi hao!
Haya yalisemwa na bado yatasemwa sana.
Pamoja na elimu, kuna burudani ya aina yake kwenye michango inayoendelea bungeni. Nyakati hizi za vyuma kukaza nadhani sauti zitapaa zaidi kulishinikiza lirushwe hewani..
Ni busara tu ya serikali inahitajika kuliwezesha hili. Si ubabe!