Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,171
Hii bado inashangaza na inashindwa kuelezeka. Kuanzia muda Wa SAA nane kamili TBC wanarusha bunge na kuna alama ya Live ikionyesha kuwa bunge liko linaendelea muda huku. Kitu ambacho sielewi inakuwaje wanarusha matangazo muda huku wakati tupo kazini? Nape alisema bunge litakuwa linarushwa Usiku muda ambao hatuko makazini...hii mbona siielewi?
Kwa sasa namuona Waziri mkuu ndio anahutubia naamini akimaliza watakata matangazo...kweli hii serikali ya JPM kizungumkuti...
Kwa sasa namuona Waziri mkuu ndio anahutubia naamini akimaliza watakata matangazo...kweli hii serikali ya JPM kizungumkuti...