Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,394
- 17,771
Huku Arusha mjini LEMA hathubutu kuondoka kwenda Dodoma, kwa madai yake eti anaogopa "Kupinduliwa" kama Nkurunzinza!
Mbona mshahara na Posho wanachukua? sasa wanagombea ubunge ili nini? Ilhali wanajua kila kitu kitapitishwa kwa "makelele ya ndio?"Kuna haja gani ya kuwepo kama kila kitu mnapitisha kwa makelele ya ndiooooo bila kujali lina maslahi kwa umma au la!
Huku Arusha mjini LEMA hathubutu kuondoka kwenda Dodoma, kwa madai yake eti anaogopa "Kupinduliwa" kama Nkurunzinza!
Wapo wengi sana hasa wale waliokuwa wanakalia majungu kwa siku zilizopita. Sasa watajibeba maana wananchi wanachotaka ni maendeleo na si bla blaaMfano nzuri ni mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe. Yeye yupo jimboni kashaanza kampeni. Nimemwona ITV habari SAA 2 usiku huu.
Wasiwepo maana hamna namna nyingine..bajeti itapita tu
Toka Bunge limeanza, Lissu, Mnyika, Nasari na wengineo wameshindwa kuhudhuria vikao. Hofu ya kupinduliwa imewatanda