Bunge Limeisha - CHADEMA Tuhamie Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge Limeisha - CHADEMA Tuhamie Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Aug 27, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wakereketwa wa chama makini cha Chadema tusipoteze muda hapo Dodoma baada ya kufuatilia kwa umakini vikao vya bajeti ya 2011-2012 japokua baadhi ya bajeti zimepitishwa kisanii!

  sasa naowaomba tusipoteze muda tuhamie Igunga tukalichukue hili jimbo japoku wao wanapesa! Sisi tuna Mungu! Ninavyopost thread hii ndio niko mbioni kuelekea Igunga asanteni na nawatakia weekend njema hakika tutashinda.
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mwendo mdundo mpaka kieleweke
   
 3. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ushindi ni mikakati na hoja,Jenga hoja CHADEMA ,tetea hoja CHADEMA,Elezea Ilani yako CHADEMA.Umoja uwepo CHADEMA.....haya yakiwepo hakika CCM watajuta kuwaona CHADEMA kule IGUNGA.INAWEZEKANA....Kwa CHADEMA HIIII......
   
 4. D

  Derimto JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nikipanga mambo yangu yakapangika nitaenda tena kwa gharama zangu ili kuhakikisha hakuna uhuni utaofanyika huko na lazima chadema kipande ushindi maana wamezoea kukaba mpaka penalt
   
 5. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo umenena mkuu.kazi moja tu mpk kieleweke.go cdm go..
   
 6. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Msipohamia Igunga
  1. mamluki watapiga kura (Chini ya ulinzi mkali)
  2. vitambulisho vya kura vitanunuliwa
  3. Kura zitabadilishwa, tena masanduku kabisa (Chini ya ilinzi mkali)
  4. Kura zitachakachuliwa (Chini ya ulinzi mkali na madonge manono kwa mawakala)
   
 7. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naungo hoja 100% tukalinde kura pamoja na kuelimisha raia wa huko wajue wajibu na haki zao.
  hakuna kulala hadi kieleweke
   
 8. M

  Mzalendo halis New Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunawaombea Mwenyezi Mungu awatangulie na kuwalinda dhid ya mwovu ( ibilisi) yeyote
   
Loading...