BUNGE limeanza,nini cha kwanza?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Nini kipaumbele cha Mkutano huu wa Bunge? Nduguzanguni,mmezungumza na Wabunge wenu walipokuwa mapumzikoni ili kuwapa hoja zenu? Vipi kuhusu marekebisho ya Sheria ya Fao la Kujitoa? Tufahamishane wakuu...
 
Warekebishe ili iweje wakati watu tumeruhusiwa kuchukua chetu kama ilivokuwa zamani, labda kurekebisha huko kuwe kuchukua iwe ndani ya mwezi mmoja tu kama mtu ameshakamilisha form zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…