Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Salaam wana jamvi,
Nimesikitishwa na kinachoendelea bungeni Kwa sasa kwani nitofauti kabisa na misingi ya uwanzishwaji wa chombo hiki. Hivi karbuni bungeni pamegeuka ni mahali paku onyesha umahiri wa Ku kejeli, kusifu,vkukashifu nk. Nijuavyo Mimi Kazi ya mbunge nikushauri ,kuisimamia serikali ikiwa pamoja na kutunga sheria.
Nimebahatika kusikilza michango ya baadhi ya wabunge wakati wakujadili mpango wa Maendeleo ya miaka mitano ijayo.nilimsikia mmoja akiishaur serikali kuachana na Umeme wa maji Bali ijikite kwenye Umeme wa gesi.miongoni mwa sababu alizotoa ni kwamba Umeme wa maji sio wa uhakika sana ukilinganisha na wagesi.kituko ni pale aluposimama mbunge mwingine kuchangia badala ya kujadili mpango wa Maendeleo alijikita kumshambulia mbunge aliesema mradi wa Umeme wamaji hautufai .
Alianza Kwa kukebehi elimu ya uprofesa aliyo nayo kuwa silolote wala chochote Kwa taifa hili ukilinganisha na elimu yake yeye ya darasa la saba, kuwa profesa sio kosa kama hukusoma huwezi upate maarifa kwa kuchukia au kukejeki mwenye elimu ya uprofesa ili hali wewe ni darasa la saba. Kilichonishangaza nikitendo cha spika kukaa kimya ju ya kitendo hicho.
Nilitegemea spika kumkumbusha mbunge kujikita kwenye kujadili hoja iliyo mezani badala ya kumjadili MTU ambae hakuwa srhemu ya hoja.cha kushangaza kuna mbunge mwingine alipo simama nakujaribu kuwambusha wabunge kwamba sio vizuri kujadili elimu ya MTU badala yake tuheshimiane, haraka sana spika alisikika akimkimbusha mbunge kujikita kwenye hoja asijaribu kucheza na wabunge darasa la saba kwani Kwa kufanya hivyo atatafuta pakutokeavkwa kuwa wabunhe hao ni hatari sana.
Ushauri wangu naomba spika na wabunge walinde heshima ya binge letu,maana hiki chombo kunawatu wamefanya kazi kubwa sana kukijengea heshima na misingi ya kuaminika machoni pa wananchi na dunia Kwa ujumla.Kwa hiyo spika na wa binge wakumbuke binge ni Mali ya wananchi so Mali ya chama chochote cha siasa au watu Fulani na hizo nafasi walizonazo ni Mali ya wananchi.
Tunaomba tukubaliane katika kutokukubaliana. Sio lazima wewew ukisifia na mwingine asifie na ukikosoa kila MTU akosoe.kila MTU ahesimu maoni ya wengine hata kama hayamfurahishi na huo nduo utendaji wa kibunge.
Nawasilisha.