Wadau,
.........
Pls tuchangie bila kuweka uYanga na uSimba....
Well said Kimbunga...:A S 465::A S 465:Hakuna userious wowote huko. Watu badala ya kuwaza mambo ya msingi kuwaondoa wananchi kwenye shida wao wanafikiria kushangilia kombe la Kagame ama Ngao ya Hisani. Bunge letu linasikitisha. Badala ya kutafakari na kusoma kwa makini miswada ya sheria kabla ya kuipitisha wao wanawaza ushabiki wa Simba na Yanga. Hawana muda wa kujadili hoja lakini wana muda wa kushangilia Kombe la Kagame ama Ngao ya Hisani. Kuna siku nitapeleka kombe la Mbuzi ama Kombe la KImbunga ndani ya Bunge. Afadhali ingekuwa kombe ambalo limetwaliwa na timu ya Taifa badala ya vilabu. Nimekereka kweli
Mkuu umeonyesha rangi yako....nilijua mpo wa mawazo hayo lakini mimi sipo huko...yupe mchango wako acha unazi
Hakuna userious wowote huko. Watu badala ya kuwaza mambo ya msingi kuwaondoa wananchi kwenye shida wao wanafikiria kushangilia kombe la Kagame ama Ngao ya Hisani. Bunge letu linasikitisha. Badala ya kutafakari na kusoma kwa makini miswada ya sheria kabla ya kuipitisha wao wanawaza ushabiki wa Simba na Yanga. Hawana muda wa kujadili hoja lakini wana muda wa kushangilia Kombe la Kagame ama Ngao ya Hisani. Kuna siku nitapeleka kombe la Mbuzi ama Kombe la KImbunga ndani ya Bunge. Afadhali ingekuwa kombe ambalo limetwaliwa na timu ya Taifa badala ya vilabu. Nimekereka kweli
Mkuu mimi si shehe wa mwembechai bali nakiona kitakachotokea kwa kulinganisha na kilichokwishatokea siku za nyuma..hata hizo club kuwa na nauli za kwenda Dodoma kutembea wakati nauli za mechi wanatembeza bakuli nayo haijakaa sawaHeading imenishangaza sana, Kombe lilikuwa halijafika Bungeni umeshaanza kulalama, umekuwa MTABIRI! Ungesubiri lifike Bungeni ndio uanze kutoa kasoro la Bunge letu
Hapo bado hujazungumzia utoro. Wabunge wetu ni watoro kupita kiasi au kutohudhuria bunge kwa sababu zisizokuwa na mantiki.
Mtu anaacha kikao cha Bunge, anaenda jimboni kushamirisha vijana kwenye siasa. Mtu anaacha kikao kinaendelea yeye hahudhurii, anaenda jimboni kwa Mbunge mwengine kupiga kampeni ya chama
Ni vitu visivyoweza kutokea nchi nyengine
Ewaaaa...mkuu umeiona hiyo!! hapa tumetawaliwa zaidi na hisia za ubinafsi mara usimba mara uyanga hata kwenye bunge...this is too much!Sijawahi sikia wala kuona eti UEFA CHAMPION TROPHY inepelekwa HOUSE OF COMMONS (Bunge la Uingereza) kisa team ya uingereza imelichukua. Au Wabunge walisimama baada ya NEW CASTLE kushuka daraja kisa Tonny BLAIR alikua mshabiki wa tim hiyo......
Pima uelewa wa BUNGE la Tanzania kisha chukua hatua za kimapinduzi..
... thread hii hapa ni mahali pake sahihi ........