Wabunge wetu katika bunge la Tanzania tujifunze kujieleza kwa kiingereza maana inatisha na kutia kinyaa. Leo kuna wabunge kadhaa pamoja na madam speaker wamekua wakijikoroga kujieleza kwa kimombo na hata pale speaker aliposema honorable mchu.. reverend.. Hii inaonyesha ni jinsigani wabunge wanapojichanganya hata kwenye mikataba aukuwasiliana na wageni. ipendekeze kuwe na debate za kimombo ili kuwawezesha wawe na flow nzuri ya lugha za kigeni kama kimombo.
Hivi umombo ndio uelewa?
Unaweza focus kujipamba wakati kumbe umesahau kuoga, watch out.
kama doc ipo kwa lugha ya umombo utaelewaje?
kama doc ipo kwa lugha ya umombo utaelewaje?
Chingereza cha kuongea ni tafauti na kusoma bwana. Confidence inahusika. Ni kweli ukiwa na akili unafanya biashara kwa sign language tu na unapata faida. Tatizo ni akili matope zilizochanganyika na mchuzi, lugha sio kikwazo kikubwa.